Vifaranga Vya Kuchi...

Vifaranga Vya Kuchi...

Hao kuku hawana uspecial wowote. Ilikuwa ni aina ya utapeli iliyovuma miaka ya tisini kwamba wanahitajika sana na wazungu na warabu.

Hivyo watu wakajikuta wanauziwa ifaranga kwa bei ya ajabu. Baada ya kuwakuza, soko likawa halipatikani. Wakajikuta nao wanaanza kuwatapeli watu kuwa wanawauzia kuku wa thamani ya juu.

Ki uhalisia hakuna soko hilo. Na kuku hao hawana thamani hiyo.

Ukifanikiwa kumpumbaza mtu unamnyoosha kwa bei hizo.

Mafia wapo wanauzwa elfu20. Tabora na geita ndio kuku wafugwao
Kweli jambo usilolijua n kama usiku wa Giza.endeleen wengine kuchangia kwa mihemko wakati watu wanapiga pesa.kuna mzee msukuma mmoja hapa alipiga 1.5m kwa vifaranga vya mwez mmoja tu 50
 
Vifaranga cha mwezi mmoja elfu 5000 ikiwa miezi mitatu ni elfu kumi ila miezi mitatu niwakubwa kabisa utadhani wana miezi6 minauza wa miezi mitatu elfu 10. Wakubwa wa kula ni elfu20 wana mwaka
 
Duh!
Bei ya kifaranga cha kuku sawa na ndama!!?
 
Kiukweli haya Majukwaa huwa hayatendewi haki
Na hii inatokana na Uhuru wa ku comment
Yani bila ya hivyo basi humu jf tungefaidika sana

Kwa mfano
Kuku aina ya Kuchi wana Soko kubwa sana na Wana aina ( Mbegu) tofauti kuchi org ana kwenda mpaka Tsh Laki Tano
Wako mbegu ya Kijapani wanauzwa mpaka Milion moja
Pia kuna Wenye Midomo kama Kasuku nao Wana bei sana
Halafu kuna Kuchi Chotara ambao ndo wako wengi kwa wafugaj

Ttz jambo usilo lijua ni Usiku wa giza Na unaweza bisha huku Ukijifungia mwenyewe Fursa ambayo ilitaka kufunguka kwako
Atakayenunua ni kutokana na mazingira aliyomo yeye. Nilipo mm kuku ni kuku, hatununui kulingana na aina wala hatuna huo mda. Unaleta bandiko kama hili lzm nizungumze kwa mshangao maana inaonekana kama utani kwangu. Lakin unachotakiwa kwa kuwa unafanya biashara ni muhimu kuwaelewesha vizr kwa upole wale unaotaka kuwauzia hata wakiuliza maswali yanayokera
 
Pale mbagara wanapatikana kwa 25,000,///18,000 kuna jamaaa anaitwa makuku anapatikana pale Zakheem.Sasa huyo bei yake???asubirie watalii waje wanunue
 
Dunh mkuu unataka kununua ndege au? Hio elfu 70 ni kwamba vikijq vimeshiba havili tena au vikikata gogo bandani vinafanya usafi vyenyewe?
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
bf62abc77830d5aaa637c5bdb84f1ecb.jpg
 
Back
Top Bottom