TAJIRI MSOMI
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 496
- 515
Mkuu bado wapo nahitaji piajuzi nimenunua kuchi jike kwa 9000!hiyo bei yako kiboko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bado wapo nahitaji piajuzi nimenunua kuchi jike kwa 9000!hiyo bei yako kiboko
Mi nauza Vifaranga 20,000/-, huyo nina hakika kaiziwa chotara sio kuchiMkuu bado wapo nahitaji pia
Upo wp mkuu?Mi nauza Vifaranga 20,000/-, huyo nina hakika kaiziwa chotara sio kuchi
Kweli jambo usilolijua n kama usiku wa Giza.endeleen wengine kuchangia kwa mihemko wakati watu wanapiga pesa.kuna mzee msukuma mmoja hapa alipiga 1.5m kwa vifaranga vya mwez mmoja tu 50Hao kuku hawana uspecial wowote. Ilikuwa ni aina ya utapeli iliyovuma miaka ya tisini kwamba wanahitajika sana na wazungu na warabu.
Hivyo watu wakajikuta wanauziwa ifaranga kwa bei ya ajabu. Baada ya kuwakuza, soko likawa halipatikani. Wakajikuta nao wanaanza kuwatapeli watu kuwa wanawauzia kuku wa thamani ya juu.
Ki uhalisia hakuna soko hilo. Na kuku hao hawana thamani hiyo.
Ukifanikiwa kumpumbaza mtu unamnyoosha kwa bei hizo.
Mafia wapo wanauzwa elfu20. Tabora na geita ndio kuku wafugwao
Hehehe....Duuh kwa huku nilipo hiyo bei wapata mbuzi wawili saafiii.
HahahaKuku 70000 sijawahi skia hiyo bei,au labda kama unauza vifaranga vya mbuni
Hahaha inawezekana ndo kazi yakehivi uko serious ama? na akikuwa mkubwa unamuuza bei gani?
kuku ni kuku tu. hiyo 70,000 bado ni bei ya mbuzi. labda kama ufuge kwa ajili ya dawa.
Dunh mkuu unataka kununua ndege au? Hio elfu 70 ni kwamba vikijq vimeshiba havili tena au vikikata gogo bandani vinafanya usafi vyenyewe?Nipo Arusha...70,000@
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo kuku akifa si unaweza weka msiba na majirani wakaja kukupa pole.
Atakayenunua ni kutokana na mazingira aliyomo yeye. Nilipo mm kuku ni kuku, hatununui kulingana na aina wala hatuna huo mda. Unaleta bandiko kama hili lzm nizungumze kwa mshangao maana inaonekana kama utani kwangu. Lakin unachotakiwa kwa kuwa unafanya biashara ni muhimu kuwaelewesha vizr kwa upole wale unaotaka kuwauzia hata wakiuliza maswali yanayokeraKiukweli haya Majukwaa huwa hayatendewi haki
Na hii inatokana na Uhuru wa ku comment
Yani bila ya hivyo basi humu jf tungefaidika sana
Kwa mfano
Kuku aina ya Kuchi wana Soko kubwa sana na Wana aina ( Mbegu) tofauti kuchi org ana kwenda mpaka Tsh Laki Tano
Wako mbegu ya Kijapani wanauzwa mpaka Milion moja
Pia kuna Wenye Midomo kama Kasuku nao Wana bei sana
Halafu kuna Kuchi Chotara ambao ndo wako wengi kwa wafugaj
Ttz jambo usilo lijua ni Usiku wa giza Na unaweza bisha huku Ukijifungia mwenyewe Fursa ambayo ilitaka kufunguka kwako
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Dunh mkuu unataka kununua ndege au? Hio elfu 70 ni kwamba vikijq vimeshiba havili tena au vikikata gogo bandani vinafanya usafi vyenyewe?