Vifaranga vys Kenbro vya wiki 3 vinapatikana

Vifaranga vys Kenbro vya wiki 3 vinapatikana

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,270
Reaction score
534
Tar 16/8 vimetmiza wiki 3 na vimepata chanjo zote za awali muhimu ikiwemo malek. Niko Dar Mbagala Piga 0767802075. Bei 3000 tu.
 

Attachments

  • 20150819_112859-1.jpg
    20150819_112859-1.jpg
    479.8 KB · Views: 628
Mkulima wa Kuku unaweza kunieleza hao ni kuku wa aina gani na nini faida zake? Week chache zijazo nawezakuwa mteja wako namalizia banda langu lenye uwezo wa kubeba kuku 3000 sasa changamoto ilikua ni wapi nipate kuku wakubwa kidogo. Tafadhali tuwasiliane hapa hapa au PM. Nitafurahi kukutembelea kama utakua tayari tushee experience. Blessed
 
Last edited by a moderator:
Kuku hawa ni mbegu chotara toka Kenya. Inakua kwa haraka na Huanza kutaga mapema ikiwa na miezi 5 tu kama itapatiwa matunzo. Kuku hawa ni wakubwa kwa umbo na wanataga mayai mengi. Niliondoa kuku wote wakubwa mwezi uliopita sasa nimebakisha vifaranga wachache 80 tu. Sababu ni kukosea usimamizi wa mradi kwani mwenyewe niko busy na mambo mengine
 
Hawa si kuku wa mayai per se ni wa kienyeji mbegu iliyoboreshwa kwa hiyo wanataga kwa jogoo
 
Back
Top Bottom