Mkulima wa Kuku unaweza kunieleza hao ni kuku wa aina gani na nini faida zake? Week chache zijazo nawezakuwa mteja wako namalizia banda langu lenye uwezo wa kubeba kuku 3000 sasa changamoto ilikua ni wapi nipate kuku wakubwa kidogo. Tafadhali tuwasiliane hapa hapa au PM. Nitafurahi kukutembelea kama utakua tayari tushee experience. Blessed
Kuku hawa ni mbegu chotara toka Kenya. Inakua kwa haraka na Huanza kutaga mapema ikiwa na miezi 5 tu kama itapatiwa matunzo. Kuku hawa ni wakubwa kwa umbo na wanataga mayai mengi. Niliondoa kuku wote wakubwa mwezi uliopita sasa nimebakisha vifaranga wachache 80 tu. Sababu ni kukosea usimamizi wa mradi kwani mwenyewe niko busy na mambo mengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.