Kuku hawa ni mbegu chotara toka Kenya. Inakua kwa haraka na Huanza kutaga mapema ikiwa na miezi 5 tu kama itapatiwa matunzo. Kuku hawa ni wakubwa kwa umbo na wanataga mayai mengi. Niliondoa kuku wote wakubwa mwezi uliopita sasa nimebakisha vifaranga wachache 80 tu. Sababu ni kukosea usimamizi wa mradi kwani mwenyewe niko busy na mambo mengine