Vifaranga wa kienyeji Mwanza

Vifaranga wa kienyeji Mwanza

NGARUKA

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
401
Reaction score
70
jamani natafuta vifaranga vya kuku wa kienyeji hapa Mwanza city,nitapata wapi?
msaada please
 
Habari! nimekupm kwa maelezo. Karibu
 
Kuna huyu jamaa ako pale mkolani anajishugurisha na utotoaji wa vifaranga wa kienyeji anaitwa paul
+255713292350 & +255763468066 mwambie ngamba amekupatia contact zake atakupa kwa bei poa. Wish u all the best
 
Njoo unitembelee mkuu unaweza kuwapenda wangu ni chotara wazuri sana, nipo igoma mwanza 0757756948
 
mr. Tanzania naomba unipm namba yako
 
Njoo unitembelee mkuu unaweza kuwapenda wangu ni chotara wazuri sana, nipo igoma mwanza 0757756948

bwana Asaki

naomba kujua hao kuku wa kienyeji ulionao ni breed ipi??
 
Back
Top Bottom