Vifaranga wa kuku wa Kienyeji wanahitajika

Vifaranga wa kuku wa Kienyeji wanahitajika

Tafadhali check na Eliza Swai kwa issue ya vifaranga wa kuku wa kienyeji,Mwambie umekuwa directed kwake na Charles Baluze.Eliza number ni 0783833335, na 0754347442
 
Vifaranga wa kuku wa kienyeji wanahitajikah haraka sana.Naomba kontack na beio zake
u ukitaka

Mkuu Mimi nilionao Ni Kuroiler Hawa ni the best breed ever, Waliletwa Uganda na President Mseveni kutoka India, Hii Breed ina mature very fast ni zaidi ya kienyeji. Au ukitaka KARI pia utapata au Rainbow breed.au KENBRO au DOREP

5324_774385732612403_6223549831382752460_n.jpg

Hawa Kuroiler wana Miezi Minne tu
 
Mkuu Chasha, hao Kuroiler unauzaje? na kwa kuanzia idadi gani mteja anaweza nunua hao kuku?
 
Back
Top Bottom