Vifaru vya Merkava vimeshindwa kazi.Vile vya Abrams vya Marekani vyaingia mzigoni Gaza

Vifaru vya Merkava vimeshindwa kazi.Vile vya Abrams vya Marekani vyaingia mzigoni Gaza

Hizi propaganda ni Kama zile za Isis kuwa wanaenda kuteka ulaya na hatimaye dunia nzima Kumbe walikuwa na silaha za mabua na mbinu hafifu na sasahivi ni historia .

Hezbula Jana ameongea lakini anaogopa kuingilia sababu kuna meli zipo bahari ya mediteranian zinasubiri mbishi yoyote akianzishe .
Yaaan IS ilifanywa sehem ya marekan na urus kujaribia silaha zake
 
Achana na taarifa za kutengeneza.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
20231103_234657.jpg
 
Tuonyeshe zilipo maiti zao ,sisi tunaiona misiba ya kaka zako. Mnachujua ni kulipua hospital na kuua watoto .
Magaidi wanavaa kiraia na wanajificha miongoni mwa raia na kwa njia hiyo wanakufa na raia wengine.

Ona hadi wanatumia magari ya kubebea wagonjwa kusafirishia silaha, wapiganaji na mahitaji yao mengine.
 
Wale wapenzi wachache wa Israel wameona matokeo yasiyopendeza katika jeshi la Israel.Walitaraji baada ya siku mbili kuingia Gaza,kajioneo kadogo tu wangeona vikosi vya IDF vikiwa vimebeba mateka mabegani na kupiga nao picha ili kuwarudisha Israel na wale wa mataifa ya nje kupakiwa kwenye ndege kurudishwa makwao.

Kinyume na hivyo karibia mwezi sasa hakuna mateka aliyepatikana na hakuna picha ya Hamas aliyeuliwa.Badala yake IDF kwa hesabu yake imekiri kupoteza askari wake 23.akiwemo jenerali mmoja.Kwa mahesabu ya Hamas wameshaua askari wengi wa Israel na kuunguza vifaru kadhaa vya merkava.

Na la kufurahisha zaidi sasa wapenzi wa Israel nao wameungana na waungaji mkono wa Hamas kusikitika kwa namna jeshi la Israel lilivyobadILI malengo yake ghafla na kuanza kupiga hospitali,magari ya wagonjwa na shule,kitu kinachopelekea kuuliwa kwa watoto wengi.

Hasira hizo zinatokana na kuonekana kushindwa kazi kwa vile vifaru vya kusifika vya Israel aina ya Merkava ambavyo maana yake ni Ngome ya Mungu. Vifaru hivyo vimeonekana kupigika kirahisi na bunduki za kawaida za Hamas aina ya RPG na kwa kutumia mabomu mengine ya kudondoshwa na droni.

Matokeo hayo kwa mujibu wa vidio zinazorushwa kwenye mitandao ya kijamii ndiyo yaliyopelekea kuonekana aina mpya ya vifaru vya ghali sana vya kimarekani matoleo ya Abrams 1 na Abrams 2.Vifaru hivyo navyo kwa kuangalia vidio hizo navyo havijasalimika na vipigo vya bunduki za Hamas.
Kila hamas ameshakufa haijalishi upo hai lakini umeshakufa. Dead corpses
 
Back
Top Bottom