Kama haviusiani naomba kufuta comment yangu mkuu, asante sana kwa taarifaMashindano hayo yapo muda mrefu na Makonda kayakuta! Hao waliokufa hawakufia kwenye eneo la mashindano!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haviusiani naomba kufuta comment yangu mkuu, asante sana kwa taarifaMashindano hayo yapo muda mrefu na Makonda kayakuta! Hao waliokufa hawakufia kwenye eneo la mashindano!
Mimi nilitizama ajali ilitokea moja tu ikaharibu pikipiki ila mwendeshaji hakuumia! Ila kuna vijana waliokuwa na pikipiki wakiwa kwenye amsha amsha za mashindano wakati wa kwenda walipata ajali lakini si katika wale waliohusika na mashindano!Kama haviusiani naomba kufuta comment yangu mkuu, asante sana kwa taarifa
SahihiLengo wachafue tu hali ya hewa na Makonda aonekane mbaya!
Sawa kabisa mkuu, sasa komredi Lema anatupotosha tusio na taarifa sahihiMimi nilitizama ajali ilitokea moja tu ikaharibu pikipiki ila mwendeshaji hakuumia! Ila kuna vijana waliokuwa na pikipiki wakiwa kwenye amsha amsha za mashindano wakati wa kwenda walipata ajali lakini si katika wale waliohusika na mashindano!
Ni kweli ni mchezo hatari ila sio kila kitu kutoa lawama!
Hata kwenye mchezo wa ngumi mwezi wa pili Morogoro Bondia alifariki lakini hakulaumiwa mwandaaji sembese hili la mtu kufa nje ya wahusika wa mashindano!
Asanteh na tuko pamoja!
Lema leo alikuwa anaongelea watu 10 ndo wamekuga kwenye mashindano!Sawa kabisa mkuu, sasa komredi Lema anatupotosha tusio na taarifa sahihi
Lema leo alikuwa anaongelea watu 10 ndo wamekufa akiwa kata ya Murieti kwenye mikutano ya CHADEMA!Sawa kabisa mkuu, sasa komredi Lema anatupotosha tusio na taarifa sahihi
Sawa, ila hata vyanzo vyetu vya habari si vingi sana, na wengine JF tunaiamini sanaLema leo alikuwa anaongelea watu 10 ndo wamekuga kwenye mashindano!
Ila Watanzania hatupendi kutafuta taarifa sahihi kila kitu tunaamini!
Vifo vipo ila si kwa wingi huo na haviuhusiani na wanamichezo waliohudhuria mashindano!
Muongo tena sana tu Lema hakuna kitu kama hicho nenda youtu.be utaona mashindano yote hadi kupewa zawadi washindi hakuna mshindanaji kwenye mashindano kafaLema leo alikuwa anaongelea watu 10 ndo wamekuga kwenye mashindano!
Ila Watanzania hatupendi kutafuta taarifa sahihi kila kitu tunaamini!
Vifo vipo ila si kwa wingi huo na haviuhusiani na wanamichezo waliohudhuria mashindano!
Kulikuwa na rally ya makonda na rally ya wadudu hii rally ndo wamekufa.Mashindano ya rally yanahitaji mafunzo ya kutosha ikiwemo upimaji wa afya za washindani.
Wazo lilikuwa zuri, siku zijazo wasiokoteze vijana mitaani.
Walivaa PPEs??Huwa nasema kila siku humu, CCM mtaji wao mkuu namba moja ni Ujinga wa hili taifa na pili na umasikini.
Bodaboda ni watu wanatumika kisiasa sana na kwa sababu ya kiwango chao cha juu cha ujinga walicho nacho hawajui kama wanatumika kiasiasa.
Kule Arusha jumapili kulikuwa na mashindano ya Pikipiki, na inami ika Bodaboda 6 wamefariki kwwnye hayo mashindano hao ni kuacha walio Mount Meru Hospital kwa sasa wakiwa wamevunjika vunjika miguu.
Ila tukirudi kwenye Uhalisia je BODA BODA ZILE TOYO NI PIKIPIKI ZA MSHINDANO? hapa tu Afruca kuna nchi hizi Toyo haziruhisiwa make hazina hata qualitu ya kubeba binadamu na kuwepo barabarani.
Kwa sababu sisi ni Taifa la wajinga tumezigezua kuwa ni mtaji wa kiasiasa na ndii maana zinachina watu daily.
Kama kuchinja watu barabarani hakutoshi sasa wakina Makonda wameamua kuzitumia kwenye mashindano ya pikipiki kutafuta mailage.
Ujinga na Umasikini vitaendelea kuwa mitaji ya wana CCM kwa muda mrefu sana
Kwenye utawala wa Sheria waandaaji wa hayo mashindano walipaswa kuwa ndani kwa sasa ila hilo haliwezekani Tanzania hii ya wajinga.
Chanzo: Nipashe
Ya wadudu haikuandaliwa na Makonda wala yeyote ni wao tu waliamua kufanya uchizi barabarani ba traffic waliwakataza wakorofi wakaamua kucheza wakagongana bodakwa bodaboda wakicheza barabarani kwenye magari mengi maenda mbio.Hawajagongwa wala na gari wamegongana bodaboda kwa bodaboda wakicheza na pikipiki barabaraniKulikuwa na rally ya makonda na rally ya wadudu hii rally ndo wamekufa.
Wote kumi, polisi Kwa nini wasizuie maafa Makubwa haya!! Hii haijakaa SAWA,!!Ya wadudu haikuandaliwa na Makonda wala yeyote ni wao tu waliamua kufanya uchizi barabarani ba traffic waliwakataza wakorofi wakaamua kucheza wakagongana bodakwa bodaboda wakicheza barabarani kwenye magari mengi maenda mbio.Hawajagongwa wala na gari wamegongana bodaboda kwa bodaboda wakicheza na pikipiki barabarani
OkHao waliokufa hawakuwa sehemu ya wanaoshindana ni bodaboda wamefia mjini huko sio uwanja wa mashindano
Kwani huo mchezo hauna taratibu na sheria!? Kwa nini waliingia uwanjani waliokosa kujua sheria na miiko!? Sidhani Kama hivi vifo vilikuwa na ulazimaMashindano ya rally yanahitaji mafunzo ya kutosha ikiwemo upimaji wa afya za washindani.
Wazo lilikuwa zuri, siku zijazo wasiokoteze vijana mitaani.
Polisi waliwakataza kucheza na mapikipiki yao mabarabarani kwenye magari mengi wakakakaidiWote kumi, polisi Kwa nini wasizuie maafa Makubwa haya!! Hii haijakaa SAWA,!!
Mimi nafikiri Watanzania wanaomuamini huyu Zerobrain BASHITE ndiyo wapumbavu. Waache waendelee kutumika. Mtu aliyeshindwa hata kupata D mbili kwenye NECTA hawezi kuwa na fikra chanya.Huwa nasema kila siku humu, CCM mtaji wao mkuu namba moja ni Ujinga wa hili taifa na pili na umasikini.