Vifo 6 vya Bodaboda vinavyodaiwa kutokea kwenye Mashindano Arusha ni uzembe mkubwa sana, Waandaaji wanapaswa kuwajibishwa

Kama haviusiani naomba kufuta comment yangu mkuu, asante sana kwa taarifa
Mimi nilitizama ajali ilitokea moja tu ikaharibu pikipiki ila mwendeshaji hakuumia! Ila kuna vijana waliokuwa na pikipiki wakiwa kwenye amsha amsha za mashindano wakati wa kwenda walipata ajali lakini si katika wale waliohusika na mashindano!
Ni kweli ni mchezo hatari ila sio kila kitu kutoa lawama!
Hata kwenye mchezo wa ngumi mwezi wa pili Morogoro Bondia alifariki lakini hakulaumiwa mwandaaji sembese hili la mtu kufa nje ya wahusika wa mashindano!
Asanteh na tuko pamoja!
 
Sawa kabisa mkuu, sasa komredi Lema anatupotosha tusio na taarifa sahihi
 
Sawa kabisa mkuu, sasa komredi Lema anatupotosha tusio na taarifa sahihi
Lema leo alikuwa anaongelea watu 10 ndo wamekuga kwenye mashindano!
Ila Watanzania hatupendi kutafuta taarifa sahihi kila kitu tunaamini!
Vifo vipo ila si kwa wingi huo na haviuhusiani na wanamichezo waliohudhuria mashindano!
 
Sawa kabisa mkuu, sasa komredi Lema anatupotosha tusio na taarifa sahihi
Lema leo alikuwa anaongelea watu 10 ndo wamekufa akiwa kata ya Murieti kwenye mikutano ya CHADEMA!
Ila Watanzania hatupendi kutafuta taarifa sahihi kila kitu tunaamini!
Vifo vipo ila si kwa wingi huo na haviuhusiani na wanamichezo waliohudhuria mashindano
 
Lema leo alikuwa anaongelea watu 10 ndo wamekuga kwenye mashindano!
Ila Watanzania hatupendi kutafuta taarifa sahihi kila kitu tunaamini!
Vifo vipo ila si kwa wingi huo na haviuhusiani na wanamichezo waliohudhuria mashindano!
Sawa, ila hata vyanzo vyetu vya habari si vingi sana, na wengine JF tunaiamini sana
 
Lema leo alikuwa anaongelea watu 10 ndo wamekuga kwenye mashindano!
Ila Watanzania hatupendi kutafuta taarifa sahihi kila kitu tunaamini!
Vifo vipo ila si kwa wingi huo na haviuhusiani na wanamichezo waliohudhuria mashindano!
Muongo tena sana tu Lema hakuna kitu kama hicho nenda youtu.be utaona mashindano yote hadi kupewa zawadi washindi hakuna mshindanaji kwenye mashindano kafa
 
Kifupi Lema anazidi kujiharibia Arusha sababu watu wakijua kuwa wale hawajafia kwenye mashindano credibility yake Arusha inakufa

Uzuri waliokufa ni boda boda hivyo taarifa za uongo wake zitasambaa haraka vijiwe vya bodaboda vyote Arusha kwa spidi ya mwewe na yeye bodaboda kutokuwa na imani naye kwa uongo wake
 
W
Walivaa PPEs??
 
Kulikuwa na rally ya makonda na rally ya wadudu hii rally ndo wamekufa.
Ya wadudu haikuandaliwa na Makonda wala yeyote ni wao tu waliamua kufanya uchizi barabarani ba traffic waliwakataza wakorofi wakaamua kucheza wakagongana bodakwa bodaboda wakicheza barabarani kwenye magari mengi maenda mbio.Hawajagongwa wala na gari wamegongana bodaboda kwa bodaboda wakicheza na pikipiki barabarani
 
Wote kumi, polisi Kwa nini wasizuie maafa Makubwa haya!! Hii haijakaa SAWA,!!
 
Hao jamaa hubebana bike moja watu watatu au wawili, wapo kundi hukimbia Arusha - Moshi nakurudi mwendo wa radi!
Ikitokea ajali bike mbovu inabebwa kwenye nzima safari mbele kwa mbele!!
Kifupi akili zimewaruka
 
Mashindano ya rally yanahitaji mafunzo ya kutosha ikiwemo upimaji wa afya za washindani.
Wazo lilikuwa zuri, siku zijazo wasiokoteze vijana mitaani.
Kwani huo mchezo hauna taratibu na sheria!? Kwa nini waliingia uwanjani waliokosa kujua sheria na miiko!? Sidhani Kama hivi vifo vilikuwa na ulazima
 
Wote kumi, polisi Kwa nini wasizuie maafa Makubwa haya!! Hii haijakaa SAWA,!!
Polisi waliwakataza kucheza na mapikipiki yao mabarabarani kwenye magari mengi wakakakaidi

Wanakatazwa hapa wakienda mbele wanaanza ujinga wao tena nafikiri walipuliza cha Arushs
 
Mimi nafikiri Watanzania wanaomuamini huyu Zerobrain BASHITE ndiyo wapumbavu. Waache waendelee kutumika. Mtu aliyeshindwa hata kupata D mbili kwenye NECTA hawezi kuwa na fikra chanya.

Ukiangalia tu sura ya Bashite na alivyojaza msambwanda hakuna namna anaweza kuwa na akili kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…