Binaadam yoyote akifa hana thamani tena ndani ya jamii
Hakuna anaekubali kulala na maiti ktk chumba kimoja hasa hio maiti iwe ya tajiri au kiongozi mkuu
Wakiondoka viongozi basi sisi wa chini tunatakiwa tuingie akili kwamba hatuna chetu ktk dunia.
1. Kiongozi kwa upande wa kiislam akifa nguo yake haizi elf 10 atayotiwa kaburini
2. Kiongozi akifa Hakuna anaekubali kulala kaburini kila mmoja anaukuta usingizi mzuri kwake.
3. Muislam akifa dua na Quran ndio tawala na sio ilani ya vyama vyetu.
Dunia haina mzuri au bora. Ukijiona bora pita mitaani angalia msonano wa nyumba na zote zinakaa watu. Mimi na wewe nani hadi tujione bora?
Akifa kiongozi tunaona live jinsi anavyoingizwa ktk kaburi na tunatakiwa tuwe funzo kwetu kwamba sisi chakula cha mchwa.
Tujifunze kwamba dunia haina bwana, mjanja wala Jabari. Unaingizwa ktk shims hata mguu hautikisi