dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Hujaelewa context au unajitoa ufahamu? Wakiamua kuchomana wenyewe kwa imani yao yatuhusu nini sisi? Miungu yako inakutuma kuuwa wasio na habari na imani yako huoni tofauti?Kama hio lugha ni ngumu nikuletee ya ya kimatumbi
![]()
Ni miaka ishirini tangu waumini 700 kujiteketeza Uganda kwa kuamini ni mwisho wa dunia - BBC News Swahili
Waumini wa kanisa la Amri za Mungu nchini Uganda, walioamini kuwa mwaka 2000 ndio mwisho wa dunia hivyo wakaamua kujiteketeza kwa moto.www.bbc.com
![]()
Paul Mackenzie: Je unajua nini kuhusu kiongozi wa dhehebu la kufa njaa Kenya? - BBC News Swahili
Paul Mackenzie: Je unajua nini kuhusu kiongozi wa dhehebu la kufa njaa Kenya?www.bbc.com
![]()
Zawadi ya dola milioni 5 kumkamata Kony - BBC News Swahili
Marekani imeahidi zawadi ya dola milioni 5 kwa yeyote atakayetoa maelezo yatakayosaidia kukamatwa kwa kiongozi wa waasi wa Lords resistance Army nchini Uganda Joseph Kony.www.bbc.com