Vifo vya ghafla vyaendelea kutokea UDOM!

Sabry001

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,064
Reaction score
354
Ni siku moja tu baada ya kufariki mwanafunzi wa mwaka wa tatu huko COED, usiku wa kuamkia leo kijana mwingne wa mwaka wa pili amefariki na wenzie kadhaa kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi maeneo cafeteria MML CAFE huko COLEGE YA SOCIAL! Rip Raphael na Charles Mfaume.
 
Hicho sio kifo cha ghafla kama yule aliyeanguka,kimetokana na radi. Nadhani sio vema kutaja majina ya marehemu humu. Nimeamkia JF sikawii kuwa mchuchu wa mmoja wao. Itasababisha madhara. Poleni sana wafiwa.
 
mweh! Lakini kweli
 
chai unampikia saa ngapi mumeo?? Usafi je??
 
Now ndo
officially chuo kimeznduliwa!wagogo hawakupenda kuhamishwa maeneo yao
 
UDOM kuna tatizo la radi?
Poleni wafiwa..
 
JF Addicted.....pole weka na muda wa kufanya shughuli zingine.

Hicho sio kifo cha ghafla kama yule aliyeanguka,kimetokana na radi. Nadhani sio vema kutaja majina ya marehemu humu. Nimeamkia JF sikawii kuwa mchuchu wa mmoja wao. Itasababisha madhara. Poleni sana wafiwa.
 
Jana waliaga mwili wa marehemu kabla ya graduu na leo tena itakuwa hivyo. Mungu awalaze mahali pema.
 
nafkiri kuna jambo la kutafakari; mazingira wanayokaa hao, afya yao kabla kifo kuwakuta, taratibu za kutibiwa kwenye kituo cha afya cha chuo, uwingi wa watu na magonjwa ya kuambukiza nk.
 
Mwisho wa mwaka huu, mnaondekeza makafara mtakufa vinywa wazi. Nyambaf zenu.
 
Back
Top Bottom