Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitia barabara zipi huko vijijini? Huo ni mradi mwingine wa kifisadi wa kuiuzia serikali makorokoro yasiyo na maana. Huko vijijini hata zikipelekwa zikianza kuharibika nani atazi-service?Je, suala la pikipiki za miguu mitatu ni suluhisho mahsusi la vifo vya akinamama wajawazito?
havina afueni ni usanii mtupu . Sijui hawakufanya survey kwanza.Ukizingatia kuwa sasa mama wajawazito wanalazimika kutembea hadi hospitali kwa miguu huku wakiwa na uchungu wa uzazi unaweza kudhani kuwa vibajaji hivyo vinaweza kuwa na afuweni lakini kuna matatizo mengi pia yatakayoondoa ufanisi wa vijaji hivyo 1. Ukosefu wa mafuta2. Ukosefu wa vipuri 3. Ukosefu wa barabara za kupitia Nafikiri kuzingatia yote hayo matatu, vibajaji havina afuweni yoyote