HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,567
Nimejua mengi kupitia Mtambuzi long live bro
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Huyu ndugu ni hazina kubwa na muhimu sana hapa JF!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejua mengi kupitia Mtambuzi long live bro
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
prettier kuliko hapo! She was a sweet, yummy little thing!
![]()
Kama utamkumbuka huyu jamaa alikua kwenye kundi la 2PAC kundi lililokua linajiita Junior Mafia walimuimba na kumtukana matusi yote ya hapa duniani BIG lazima kundi hili liishe lote! walianza na 2Pac halafu akafuatia Kadafi bado wengine watafuta!
Umemsahau Moringe SokoineMtambuzi kuna vifo vingi sana vya MANGULI ambavyo mpaka leo havijulikana vilitokeaje na kwa sababu zipi. Lakini, haraka haraka, na kwa kufikiri kipuuzi, nahisi kuwa vifo hivi hupangwa makusudi na makundi fulani fulani yenye interest fulani au yanayohisi kuwa uwepo wa watu fulani fulani unaweza kuhatarisha usalama wao au una interfere interest zao fulani!
Umewasahau akina Lucky Dube, aliyeuawa kwa risasi inasemakana na majambazi, lakini si kweli kwani hakuna kilichoibiwa wakati wa tukio na wengineo wengi. Hata hapa kwetu TZ kuna baadhi ya viongozi ambao pia vifo vyao vinanishangaza mpaka sasa. Mfano akina Daudi Balali, governor wa zamani wa bank kuu, Major General Imran Kombe, Hayati Horace Kolimba nk nk