Vifo vya MANGULI vilivyozua utata, lakini hadi leo havijapatiwa ufumbuzi….!

Jon bennet angekuwa binti mkubwa sasa tena mrembo sana! Mamake alifariki kwa kansa! Napenda sana watoto, naumia kuona mtoto anatendewa isivyo haki! Rip little angel!
 
Jon bennet angekuwa binti mkubwa sasa tena mrembo sana! Mamake alifariki kwa kansa! Napenda sana watoto, naumia kuona mtoto anatendewa isivyo haki! Rip little angel!

cacico sasa hivi angekuwa kama hivi.........
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi

Kama utamkumbuka huyu jamaa alikua kwenye kundi la 2PAC kundi lililokua linajiita Junior Mafia walimuimba na kumtukana matusi yote ya hapa duniani BIG lazima kundi hili liishe lote! walianza na 2Pac halafu akafuatia Kadafi bado wengine watafuta!
 
Last edited by a moderator:

Ugomvi wao ulishamalizwa na akin Jesse Jackson na Andrew Young
 
Ndallo

Kama utamkumbuka huyu jamaa alikua kwenye kundi la 2PAC kundi lililokua linajiita Junior Mafia walimuimba na kumtukana matusi yote ya hapa duniani BIG lazima kundi hili liishe lote! walianza na 2Pac halafu akafuatia Kadafi bado wengine watafuta!

Mkuu umechanganya mambo. JUNIOR MAFIA halikuwa kundi la 2Pac bali kundi la Biggie likiundwa na Lil Kim na Lil Ceaser. Kundi la 2Pac ambalo Yaki Kaddafi au Yaki Fula alikuwamo linaitwa THE OUTLAWS.
 
Wengine ni pamoja na Marilyn Monroe, mcheza sinema maarufu sana wa zamani na aliyekuwa kimada wa Rais John Kennedy. Kurt Cobain, Mwanamuziki maarufu wa Rock. Olof Palme, Waziri Mkuu wa zamani wa Sweden na Big L, rapper kutoka Harlem NY aliyekuwa anainukia kwa kasi.
 
Umemsahau Moringe Sokoine
 
Ndivyo inavyokuwa.

Sijui kuna siri gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…