Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Hivi unaamini picha hii kweli.Hii si ya kumtengeneza tu.Kwa kweli kajitambua, kwa namna anaishi haya maisha ya uwoga uwoga, ila strongly christan anayeabudiwa sana na mlio wa dini ya mwarabu.
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unaamini picha hii kweli.Hii si ya kumtengeneza tu.Kwa kweli kajitambua, kwa namna anaishi haya maisha ya uwoga uwoga, ila strongly christan anayeabudiwa sana na mlio wa dini ya mwarabu.
![]()
Putin alipata uongoz kupitia Oligarchs na ndiyo maana ni rafiki sana na mtu kama Abramovich maana Putin kashiriki sana kuwawezesha maoligarchs kuiba public assets na ndo wametajirikia hapo. Putin kwa sasa anaishi kama digidigi maana maoligarchs wameathirika sana kwenye business kufuatia maamuz ya Putin kuingia vitan. Putin anaishi kwa hofu kubwa ya kuuawawa na ndiyo maana hata mazishi ya Gorbachev kachomoa kushiriki. Kifupi walewale alioshiriki nao kuibia warusi ndiyo sasa anawasiwasi nao kuwa watamuua. Kifupi jizi linaogopa kuuliwa na majizi menzake na ndiyo maana Ingwa Putin ni tajir lakin forbes hayupo maan ana utajiri wa wizi. Na kwa sabab ya wasiwasi wa kuuwawa sasa na yeye anaua.
Itabidi niitafute hiyoCIA and SWAT at their pick........No wonder huyo putin kagoma kwenda msibani yasije yakamtokea yale ya movie ya hitman, -(jamaa kaua mdogo wake president ila president aende msibani tena huyo huyo wa Russia na yeye akajaa kwenye 18 za msela..)..
Gorbachev ni Khazarian Mafia,ndio walioko nyuma ya Ukraine conflict,hata ingekuwa wewe usinge-hudhuria msiba wa mtu Kama huyo.Putin has said,he does not have space in his schedule Gorbachevs' funeral.This is a snab for Gorbachev!Naamini hali ni mbaya zaidi ya hii picha, jamaa anaishi maisha ya wasiwasi hata ameogopa kuhudhuria msiba wa Gorbachev.
Garbachev anachukiwa na warusi wote kutokana na kuangusha USSR na kusababisha hali ngumu ya kiuchumi ndani ya Urusi miaka ya 1990.¹sasa kama warusi wa kawaida wanamchukia unataka Rais aende kwenye maziko yake ili iweje.Putin alipata uongoz kupitia Oligarchs na ndiyo maana ni rafiki sana na mtu kama Abramovich maana Putin kashiriki sana kuwawezesha maoligarchs kuiba public assets na ndo wametajirikia hapo. Putin kwa sasa anaishi kama digidigi maana maoligarchs wameathirika sana kwenye business kufuatia maamuz ya Putin kuingia vitan. Putin anaishi kwa hofu kubwa ya kuuawawa na ndiyo maana hata mazishi ya Gorbachev kachomoa kushiriki. Kifupi walewale alioshiriki nao kuibia warusi ndiyo sasa anawasiwasi nao kuwa watamuua. Kifupi jizi linaogopa kuuliwa na majizi menzake na ndiyo maana Ingwa Putin ni tajir lakin forbes hayupo maan ana utajiri wa wizi. Na kwa sabab ya wasiwasi wa kuuwawa sasa na yeye anaua.
Garbachev anachukiwa na warusi wote kutokana na kuangusha USSR na kusababisha hali ngumu ya kiuchumi ndani ya Urusi miaka ya 1990.¹sasa kama warusi wa kawaida wanamchukia unataka Rais aende kwenye maziko yake ili iweje.
Gorbachev ni Khazarian Mafia,ndio walioko nyuma ya Ukraine conflict,hata ingekuwa wewe usinge-hudhuria msiba wa mtu Kama huyo.This is simply a madeup stupid accusation to try to show that Putin is isolated and is afraid.This is utter nonsense.
Lete uthibitisho wa yale unayosema,usibwate tu.Alikwenda kujificha mochwari akatoa heshima zake humo ila kaogopa kwenda palipo msiba haswa, jamaa anateseka sana, hajui pakutokea, hata Waarabu wameanza kumchoka.
Putin kwa saa lina hofu kubwa mno na maisha yake maana limetenda uovu mwingi na siku ya kufa litateseka sana wakati linakata roho labda apate neema ya Mungu atubie maovu/dhambi/makosa yake.Alikwenda kujificha mochwari akatoa heshima zake humo ila kaogopa kwenda palipo msiba haswa, jamaa anateseka sana, hajui pakutokea, hata Waarabu wameanza kumchoka.
Na huo ndiyo ukweli Gorbachev kakuta urusi ipo jehanam ya kiuchumiAcha kupotosha, USSR ilikuwa na hali ngumu ya uchumi kwa. Kasome kuhusu Volga-Ural famine ya 1921, na jinsi uchumi wa USSR ulivyoanza kufa mwaka 1970.
Ashajua saa ya yeye kurudi mavumbini imekaribia sana so lazima now awe strongly Christian. Zee lina hofu ya kifo sana kwa sasa maana linajua lina midhambi, mauovu na mikosa ya kutisha.Kwa Sasa they have fallen apart,kwa kuwa Putin amejitambua.Ametambua kwamba he cannot go along with people who are anti-human and who essentially desire to wipe out humanity. For your information Putin is now strongly Christian.
Midhambi kuliko mabwana zako wa nchi za Magharibi wanao-panga ku-exterminate almost 7.6+ billion humans inluding you!!!!Acha umbumbumbu wewe.Ashajua saa ya yeye kurudi mavumbini imekaribia sana so lazima now awe strongly Christian. Zee lina hofu ya kifo sana kwa sasa maana linajua lina midhambi, mauovu na mikosa ya kutisha.
Bila shaka hiyo meza ipo full equiped na Automatic machine guns na gesi ya kulevya upande wanapo kaa watu wanaofanya mkutano na putin. Ni swala la kubofya batani moja tuKwa kweli kajitambua, kwa namna anaishi haya maisha ya uwoga uwoga, ila strongly christan anayeabudiwa sana na mlio wa dini ya mwarabu.
![]()
Kuna siku haiko mbali watamgeuzia kibao bila ya kutarajia. Asijione mjanja sana kwenye dunia hii.Haijafahamika nani anayewaua na kwa nia gani, kwa kweli Putin anatumbukiza nchi pabaya...
Ni suala la muda tu, mwisho wa Putin utakuwa mbaya sana kwake hapo alipo kwa sasa itakuwa zee lina majuto ila ndo afanyeje na vita alishaianza kuondoka anaona aibu itahesabika kashindwa so inabidi akubali tu kupelekewa moto hamna namnaKuna siku haiko mbali watamgeuzia kibao bila ya kutarajia. Asijione mjanja sana kwenye dunia hii.
Kwanza hivyo anavyovuruga hao wazungu, matokeo yake vibarua vingapi vinakwenda na maji hivi sasa?
Huenda anahofia kuwa watamsaidia Zelenskiy kifedha. Kimsingi wafanyabiashara wakubwa wa Urusi hawakupenda vita hii maana wao ndio wamekuwa wahanga wa kwanza kwa kuwekewa vikwazo na wengine mali zao kuchukuliwa na Srikali za nchi za Ulaya.Ni mambo ya Kawaida sana hayo kwa wapinzani na wakosoaji mashuhuri wa Putin huko Russia
Ndani ya Urusi kwa sasa shughuli za Mafia zimepanuka, vifo vya ajabu vya mtu mmpja mmoja vimeongezeka, sidhani kama atanyamanzisha mafia, naye analijua ndiyo maana anaishi kama kunguru, hata upepo ukivuma tu anakwepa as if amerushiwa komboraKuna siku haiko mbali watamgeuzia kibao bila ya kutarajia. Asijione mjanja sana kwenye dunia hii.
Kwanza hivyo anavyovuruga hao wazungu, matokeo yake vibarua vingapi vinakwenda na maji hivi sasa?