Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes,yaani ndio inaitwa closure, fiancee wake kafariki 11 April,hapo Capetown,(home town ya AKA ),AKA Kala risasi 11Feb hapo Durban (home town ya fiancee),karma haikuachiHivi mlipa kisasi huwa anapata amani ya moyo baada ya kutekeleza malipo ya kisasi chake?
Hivi mlipa kisasi huwa anapata amani ya moyo baada ya kutekeleza malipo ya kisasi chake?
Wabongo mmeanza sasa ...Lakini pia kuachana na kukisiwa kwa baba mkwe wake na AKA kuwa labda amehusika katika kile kinachosemekana ni kisasi juu ya mwanae pia upande mwingine watu...
Wanasema cassper nyovest anaweza kuwa amehusika kutokana na beef walilokuwa nalo.kuna picha hapa chini nimeiweka utaelewa nini nasema.View attachment 2514052
Hatuendelei kwa sababu hatufanyii uchunguzi matukio ya mauwaji kama haya siyo?Hii meseji za kipuuzi km hizi ndiyo maana Afrika hatuendelei kamwe..
Yeah kabla ya kisasi mtu anakosa amani kabisaHivi mlipa kisasi huwa anapata amani ya moyo baada ya kutekeleza malipo ya kisasi chake?
Kama kifo cha yule wakili maarufu Nyaga Mawala ambaye naye ilisemwa kuwa alijirusha ghorofani ya wodi alipokuwa anatibiwa.Haya mambo unakuta kuna watu maybe aliwakosea au ni maswala ya kurushana hela.Ila hili la Nelly kujirusha chini kutoka kwenye chumba cha hoteli inafikirisha
Mkuu, hawa wapanga mipango ya mauaji mara nyingi huwa wanakodi watu wa kutekeleza mpango huo. Sasa mtu maarufu ana interact na wengi na pia anaingia migogoro na wengi, hata akifufuka atajuaje kuwa waliompiga risasi walitumwa na watu fulani? Maana ukiangalia matukio hayo huwa ni ya haraka sana, yaani sijui kama wauaji huwa wanajitambulisha kuwa wametumwa na nani..tofauti na mauaji yanayofanywa baada ya mtu kutekwaHatuendelei kwa sababu hatufanyii uchunguzi matukio ya mauwaji kama haya siyo?
Duniani zipo nchi ktk issue za upepelezi wako vizuri eg USA lakini zipo bado case watu walihisiwa kuuwa wakapewa death penalty au vifungo vya maisha mwisho hao hao wakaja kugundua wahusika hawakuwa wauwaji wakaachiwa,the issue is:hakuna namna ya kufanya kumjua m'baya wa marehemu kwenye matukio kama haya unless iwe kuna eye witnesses na ukitaka iwe tofauti na hivyo itabidi sasa marehemu aamke aseme ni fulani na fulani ndo niligombana nao jambo ambalo ni gumu.
Yah mkuu wewe umenielewa vizuri.Mkuu, hawa wapanga mipango ya mauaji mara nyingi huwa wanakodi watu wa kutekeleza mpango huo. Sasa mtu maarufu ana interact na wengi na pia anaingia migogoro na wengi, hata akifufuka atajuaje kuwa waliompiga risasi walitumwa na watu fulani? Maana ukiangalia matukio hayo huwa ni ya haraka sana, yaani sijui kama wauaji huwa wanajitambulisha kuwa wametumwa na nani..tofauti na mauaji yanayofanywa baada ya mtu kutekwa