Vifo vya upasuaji wa kuongeza makalio vyaongezeka Uturuki

Ila wengi wanasema yananuka why?
Kuna bar ipo Igoma inaitwa winstar
Weee wahudum wote wana makalio ila yale ya wastani na mazuri kweli yanavutia sio kama kalio la nicole jowbel au ndio wanigeria wanapenda hayo ,
Huddah anavutia sana lile kalio lake
Tako size. Utasema tu. As you are[emoji1787][emoji1787]
 
Ila wengi wanasema yananuka why?
Kuna bar ipo Igoma inaitwa winstar
Weee wahudum wote wana makalio ila yale ya wastani na mazuri kweli yanavutia sio kama kalio la nicole jowbel au ndio wanigeria wanapenda hayo ,
Huddah anavutia sana lile kalio lake
Wanakutana tu na watu wachafu bana sa linanukaje.
Igoma mwanza?

Yes huddah anavutia japo nae katengeneza
 

Uchunguzi wa maiti uliibua wasiwasi kwamba marehemu alikufa kwa sababu hakupewa taarifa kabla ya safari.

Kwa hiyo alipofika hospitali akajionea ukweli akapata heart attack akafa !!!!!! The coroner, mpasua maiti za vifo vyenye utata, kila akipasua kichwa cha cadaver alikuwa anakuta vimejawa na sintofahamu ya kukosa taarifa kabla ya safari!

Uingereza imekubali kusitishwa kwa upasuaji huu. Uingereza imekubali kivipi kuacha kupasua wakati upasuaji uko Uturuki ??????? Unless Uingereza ilikuwa inapinga maombi ya jamii ya kufunga huduma hizi ikimtetea Uturuki!!!

Hebu tuwekeeni original BBC story. Please. Hizi tafsiri za Zuhura Yunus na Salim Kikeke's of the world ni matope matupu, mswahili hata asome shule namna gani haisaidii, hajawa groomed toka utotoni kutumia logic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…