Vifo vya upasuaji wa kuongeza makalio vyaongezeka Uturuki

Vifo vya upasuaji wa kuongeza makalio vyaongezeka Uturuki

Agosti 2020 mama mmoja wa watoto watatu alifarki baada ya kufanyiwa upasuaji wa wa kurekebisha mwili nchini Uturuki na hapo awali BBC iliripoti jinsi wagonjwa saba wa Uingereza walivyofariki baada ya upasuaji wa kupunguza uzito katika nchi hiyo.
Mloganzila wanasemaje
 
Sema ukurasa wa makalio umedumu mda mrefu sio kama kurasa nyingine za mwanya, lips nene, miguu ya bia, hips, dimpoz,.makalio.....makalio....makalio....makalio, makalio sijui kama yatapata mpinzani
a.k.a. mizigo by shekhe kipozeo voice[emoji30]
 
Serikali ya Uingereza imesema itakutana na maafisa nchini Uturuki kujadili kanuni kuhusu utalii wa kimatibabu na urembo, baada ya vifo kadhaa kutokea.

Melissa Kerr, 31, alifariki dunia katika Hospitali binafsi ya Medicana Haznedar mjini Istanbul 2019 wakati wa upasuaji wa kuongeza makalio, BBL.

Uchunguzi wa maiti Uliibua wasiwasi kuwa ni kwasababu yeye na wengine hawakupewa taarifa za kutosha kabla ya kusafiri nje ya nchi na kuhusu upasuaji huo.

Agosti 2020 mama mmoja wa watoto watatu alifarki baada ya kufanyiwa upasuaji wa wa kurekebisha mwili nchini Uturuki na hapo awali BBC iliripoti jinsi wagonjwa saba wa Uingereza walivyofariki baada ya upasuaji wa kupunguza uzito katika nchi hiyo.

Uingereza imekubali kusitishwa kwa upasuaji wa aina hiyo kutokana na hatari zinazohusika.

"Maafisa wa Idara ya Afya watatembelea Uturuki hivi karibuni kukutana na wenzao". alisema Waziri wa afya.

Mlongazila, CCBRT zimejipanga vizuri kwenye hili?

BBC Swahili
Acha wapasuliwe na wafe kabisa

Tamaa tu
 
Unapewa attention tu lkn ni ya ovyo sana ile mijitu. Kama hajiweki vzr yana jasho. In fact. Not my favourite[emoji114]
We utakua unakutana tu na mitrako ya kina mwantumu, kuna sexy butt za hatari....majuzi nipo njiani na Mr akapita dada mmoja ana takko zuri, kila mtu ilikua macho kwake ikabidi nimshtue Mr nae alicheki khaaaa yule binti hatari
 
Ila wengi wanasema yananuka why?
Kuna bar ipo Igoma inaitwa winstar
Weee wahudum wote wana makalio ila yale ya wastani na mazuri kweli yanavutia sio kama kalio la nicole jowbel au ndio wanigeria wanapenda hayo ,
Huddah anavutia sana lile kalio lake
 
Back
Top Bottom