Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hautamani kuongeze tako mrembo?Mimi mwembammba na mrefu,najikubali sana kuliko
Wanawake mna mambo sana.Daah! Mbali na yote hayo kuna wengine wataendelea kama kawaida
Yabidi mzowee tu.Wanawake mna mambo sana.
Kuna wale wanatinda nyusi au wanaondoa zote halafu pale walipoziondoa nyusi wanachora na rangi nyeusi.
Sasa kama lengo ni kuondoa ule weusi, iweje tena uchore!
Sawa lakiniYabidi mzowee tu.
Sisi ni jalala lao.
Serikali ya Uingereza imesema itakutana na maafisa nchini Uturuki kujadili kanuni kuhusu utalii wa kimatibabu na urembo, baada ya vifo kadhaa kutokea.
Melissa Kerr, 31, alifariki dunia katika Hospitali binafsi ya Medicana Haznedar mjini Istanbul 2019 wakati wa upasuaji wa kuongeza makalio, BBL.
Uchunguzi wa maiti Uliibua wasiwasi kuwa ni kwasababu yeye na wengine hawakupewa taarifa za kutosha kabla ya kusafiri nje ya nchi na kuhusu upasuaji huo.
Agosti 2020 mama mmoja wa watoto watatu alifarki baada ya kufanyiwa upasuaji wa wa kurekebisha mwili nchini Uturuki na hapo awali BBC iliripoti jinsi wagonjwa saba wa Uingereza walivyofariki baada ya upasuaji wa kupunguza uzito katika nchi hiyo.
Uingereza imekubali kusitishwa kwa upasuaji wa aina hiyo kutokana na hatari zinazohusika.
"Maafisa wa Idara ya Afya watatembelea Uturuki hivi karibuni kukutana na wenzao". alisema Waziri wa afya.
Mlongazila, CCBRT zimejipanga vizuri kwenye hili?
BBC Swahili
Kumbe na wewe team flat🙆Mbona mnanitisha sasa😳😐. wakati nimejinyima kula miezi yote hii ili nisave hela ya kwenda mloganzila jamani 😒😒
Tena flat kwelikweliKumbe na wewe team flat🙆
Ndiyo maana una wivuTena flat kwelikweli
naachaje kua na wivu sasaNdiyo maana una wivu
Time will tell 🤣🤣🤣Sijui hali itakuaje kwa mloganzila
😀 Ayanaachaje kua na wivu sasa
Sawa😀 Aya
Tatizo wenye tako wakishayabinua na kuyapost kwenye mitandao ya kijamii wanavyopata likes na comments za kusifiwa wanaona wameshamaliza maisha ujinga unaanzia hapoUtafiti wangu unaonyesha kwamba wenye flat wana akili kuliko waliobeba mizigo minene.
Yaani kadiri ya ukubwa wa mzigo basi grafu ya akili inashuka
Hata katako ka kuzugia huna? Unakaaje sasaMbona mi napendwa tu na hii flat yangu au Picha za kushow off instagram
Hata katako ka kuzugia huna? Unakaaje sasa
Uliye naye atakuwa na upendo wa kweli[emoji1787][emoji1787]Hahahah nakaa wewe nae [emoji23]