Vifo vya Utata: Pumzika Job Yustino Ndugai

Jamani si alikuwaga anaumwa muda mrefu tu! Hakuwa okay. So haiwezi kuwa ni sababu zingine zaidi ya maradhi ya muda mrefu. Amepitia kashkash sana za mambo ya uchaguzi hapa wiki kadhaa, na sidhani kama afya yake ilikuwa inaruhusu.
 
Sikuwahi kudhani hii nchi ina laana ya kiwango hiki

Damu za watumwa waliouzwa kwenye pwani ya nchi hii hazijapumzika bado
 
Jamani si alikuwaga anaumwa muda mrefu tu! Hakuwa okay. So haiwezi kuwa ni sababu zingine zaidi ya maradhi ya muda mrefu. Amepitia kashkash sana za mambo ya uchaguzi hapa wiki kadhaa, na sidhani kama afya yake ilikuwa inaruhusu.
F.. K off
 
Ngoja tusubiri taarifa ya Serikali huenda watatuambia chanzo cha kifo chake!
Lakini sidhani kama alikuwa tishio kiasi cha kuondolewa uhai.
Vinginevyo Wastaafu wataishi kwa hofu wakijua muda wo wote wataastaafishwa dunia.
Anyway sisi tusiojua hili na hili ngoja tukae kimya!
 
Tayari, naona chadema wameshaanza kuja na upumbavu wao. Wasivyo na akili basi na hiki kifo wanafikiri kitampeleka lissu ikulu.
 
Angalia nyumbu huyu. Kwahiyo mwanasiasa hapaswi kufa? Akifa tu kifo cha utata? Pengine watu wana magonjwa yao ya muda mrefu. Vijina wa chadomo wana kiwanda cha kufyatua uzushi.
 
Jamani tunajua fika kuwa Ndugai alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu, ingawaje ugonjwa wake haukuwekwa wazi.
Wakati wa Awamu ya Magufuli, Ndugai alitibiwa India kwa zaidi ya miezi minne hospitalini.
Tena bajeti ya mwaka 2017/18 ilipitishwa akiwa kitandani.
 
Watu wanajisahaulisha hilo sababu ya chuki dhidi ya Samia. Inashangaza sana.
 
Ulitaka aishi miaka mingapi ili akifa uridhike na isiwe kifo cha utata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…