Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Duh aisee.huu nao ni usenge alafu kutoka kwako mtu kama Mshana ni usenge zaidi.
Duh aisee.huu nao ni usenge alafu kutoka kwako mtu kama Mshana ni usenge zaidi.
Madawa ya kufubaza gridi ya taifa yana madhara makubwa kwa viungo vya ndani hasa yakitumiwa kwa muda mrefu. Na likibumburuka linabumburuka kweli. Hawa jamaa wengi wao hata ukiwaangalia tu nyuso zao unaona kuwa kuna kitu hakiko sawa. Lakini ndiyo kwanza wanajiachia na kupiga bia + kitimoto. Siku kikiumana kinaumana kweli!Ni mambo ya ajabu sana haya
Mimi mtu wa kawaida niliugua sana na kukosa mpaka balance ya kutembea
Nilienda hospital na Dr akaamua nipimwe damu na kuangalia kila kitu
Walichukua damu vile vichupa vidogo sana 8
Majibu yaliyoka Baada ya masaa manne
Sasa kama wao wana hela na wanajua wana maadui kibao kwanini wasiangalie afya zao pindi wanapoona mwili upo tofauti
Wana uwezo wa kwenda hospital popote pale duniani
Jambo lingine najua ni gharama kubwa kwa kila mwananchi anaekufa kuchunguzwa kifo chake na kubaini sababu
Kama ni hivyo hawa viongozi mbona hawatoi majibu ya Vifo vyao kwa uwazi na wanaachia wengine waseme?
Kuna nchi ukifa tu lazima sababu ya kifo ijulikane
Kwa nini atake kuendelea na kazi ya ubunge kama ni mgonjwa, na kwa nn wanaoishi nae wamteue mgonjwa? Siamini kama alikuwa mgonjwa kihivyo.Angalia nyumbu huyu. Kwahiyo mwanasiasa hapaswi kufa? Akifa tu kifo cha utata? Pengine watu wana magonjwa yao ya muda mrefu. Vijina wa chadomo wana kiwanda cha kufyatua uzushi.
Upo sahihi na wanasambaza umeme Sana .Madawa ya kufubaza gridi ya taifa yana madhara makubwa kwa viungo vya ndani hasa yakitumiwa kwa muda mrefu. Na likibumburuka linabumburuka kweli. Hawa jamaa wengi wao hata ukiwaangalia tu nyuso zao unaona kuwa kuna kitu hakiko sawa. Lakini ndiyo kwanza wanajiachia na kupiga bia + kitimoto. Siku kikiumana kinaumana kweli!
Nadhani wanajua status yao na wameshakubaliana na hali. Liwalo na liwe!
Umeambiwa ni mgonjwa wa miaka mingi na trip za India hazikuwahi kuisha Leo hii unataka kusemaje ?Kwa nini atake kuendelea na kazi ya ubunge kama ni mgonjwa, na kwa nn wanaoishi nae wamteue mgonjwa? Siamini kama alikuwa mgonjwa kihivyo.
😂😂😂😂Wabongo bhana 😂 haya kesi imewafikia CIA wa Bongo
kwa nn asipumzike? Zile tripu za kawaida, vinginevyo daktari wangemwambia apumzikeUmeambiwa ni mgonjwa wa miaka mingi na trip za India hazikuwahi kuisha Leo hii unataka kusemaje ?
Ujinga ni Mzigo unafikiri jukumu la Afya yako ni jukumu la nani ?.kwa nn asipumzike? Zile tripu za kawaida, vinginevyo daktari wangemwambia apumzike