Vifo vya Utata: Pumzika Job Yustino Ndugai

Muda huu Kongwa 😔 😟 🙁
Your browser is not able to display this video.
 
Wasio Wanasiasa kufa ruksa ila wakifariki Wanasiasa ni vifo vya utata Kwa kuwa wao hawatakiwi kufariki au Wana vifo vyao spesho ama?
Shangaa na wewe waTanzania wapumbavu sana kwahiyo ndugu zao kule kijijini wanakufa sana ila sio issue ila akifa kiongozi tu ameuawa wapumbavu sana hawa FBI uchwara wa Bongo
 
Hizi ni porojo tu
 
Vifo vya Edward Boamah (Waziri wa Ulinzi) pamoja na na Ibrahim Muhammed (Waziri wa Mazingira) baada ya helikopta ya kijeshi waliyopanda kupata ajali na kupoteza maisha nayo ni jambo la kawaida tu!

Wengine waliofariki katika ajali hiyo ni; Dkt. Samuel Sarpong (Makamu Mwenyekiti wa chama tawala NDC), Alhaji Muniru Limuna (Kaimu Naibu Mratibu wa Usalama wa Kitaifa), Samuel Aboagye na Watumishi watatu wa helikopta hiyo.

Jeshi la Ghana limeeleza Helikopta hiyo iliondoka Accra asubuhi kuelekea Obuasi kufuatilia magendo ya uuzwaji wa Madini lakini ilipotea kwenye rada na baadaye kupatikana ikiwa imeanguka eneo la Adansi, Ashanti.

Hapo kuna watu watasema kuwa hili ni jambo la kawaida tu kwa sababu kifo ni kifo tu!

Unafikiria kuwa uuzaji wa madini kwa magendo hakuna mikono ya watu wa serikali!?

Tumeshapewa jina la wapumbavu kwa kuelezea kuhusu hofu ya vifo hivi.
 

Edward Moringe Sokoine. Dakawa Morogoro. 12th April 1984. Nikiwa mtoto mdogo kabisa ila nimeanza kujitambua.
 
Gari lake halikuwa na ulinzi!?

Lazima alikuwa na walinzi. Na sijui lolote kuhusu yaliyotokea. Nakumbuka jina moja... Dubisani Dube, mkimbizi kutoka South Africa, akiwa kwenye landcruiser, na akiwa mkazi wa Mazimbu. Inaelekea alikuwa amelewa gongo sehemu imaitwa Dark City.

Alikuwa anaenda wapi sijui... gari alipata wapi sijui. Alikuwa anafanya kazi au mzurulaji sijui.
Kifupi sijui lolote... ila siku ile naikumbuka sana, pamoja na umri wangu mdogo... miaka 4 sijui.....
 
Daah
 
Wabongo bhana 😂 haya kesi imewafikia CIA wa Bongo
Wanashindana tu kufungua nyuzi hapa JF kuhusu hii issue,
Kila mtu ni mtaalamu, kila mtu ana maono ya jicho la tatu!

Wanatabiria wenzao vifo ila wao hawajitabirii vifo vyao!
wanajiongopea kua, kutaja dhambi za wengine, kunawafanya wao kua watakatifu!
 
Kabla ya yote Wabongo tunaanza na Conspiracy Theory.

While people are innocent until proven guilty, the government is guilty until proven innocent.

RIP Ndugai.
 
Mhh aisee kifo ni fumbo sana juzi tu tulikua tunaangalia yule mwananchi anamwambia akapumzike aache kugombea ubunge wakiwa kwenye kampeni zao na wajumbe leo tunapata taarifa ya kufariki..
Poleni sana wanafamilia.
Alitakiwa akampuzike

Ova
 
Kabla ya yote Wabongo tunaanza na Conspiracy Theory.

While people are innocent until proven guilty, the government is guilty until proven innocent.

RIP Ndugai.
Wakati mtu and rekodi ya kuwa mgonjwa na ashaenda hadi india
Kwa matibabu
In short huyu alitakiwa apumzike tu ale maisha mambo ya mkikimkikiki ya siasa angeachana nayo....

Ova
 
Wapumbavu siku zote huwa wanafikiri kuna watu hawafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…