Vifo vya Utata: Pumzika Job Yustino Ndugai


🤔🤔🥺🥺
 
Wakati mtu and rekodi ya kuwa mgonjwa na ashaenda hadi india
Kwa matibabu
In short huyu alitakiwa apumzike tu ale maisha mambo ya mkikimkikiki ya siasa angeachana nayo....

Ova
Ndiyo na mimi nashangaa.

Watu hawajali afya zao. Wanaona hii nafasi ya kula bingo tena kwa miaka mitano.
 
Ndiyo na mimi nashangaa.

Watu hawajali afya zao. Wanaona hii nafasi ya kula bingo tena kwa miaka mitano.
Kuna wakati jk rais,alikuwa anakwenda usa kwa ajili ya OP ya tezi dume,kabla aliweka wazi mpk safari alijulisha umma mpk jnsi matibabu yanavyo/yalivyoenda
Huyu godfather mjanja sana 😄

ova
 
Kuna wakati jk rais,alikuwa anakwenda usa kwa ajili ya OP ya tezi dume,kabla aliweka wazi mpk safari alijulisha umma mpk jnsi matibabu yanavyo/yalivyoenda
Huyu godfather mjanja sana 😄

ova
Ukitumia fedha za umma ni wajibu kuwajulisha wenye fedha zao.
 
Ni mambo ya ajabu sana haya
Mimi mtu wa kawaida niliugua sana na kukosa mpaka balance ya kutembea
Nilienda hospital na Dr akaamua nipimwe damu na kuangalia kila kitu
Walichukua damu vile vichupa vidogo sana 8
Majibu yaliyoka Baada ya masaa manne

Sasa kama wao wana hela na wanajua wana maadui kibao kwanini wasiangalie afya zao pindi wanapoona mwili upo tofauti

Wana uwezo wa kwenda hospital popote pale duniani

Jambo lingine najua ni gharama kubwa kwa kila mwananchi anaekufa kuchunguzwa kifo chake na kubaini sababu

Kama ni hivyo hawa viongozi mbona hawatoi majibu ya Vifo vyao kwa uwazi na wanaachia wengine waseme?

Kuna nchi ukifa tu lazima sababu ya kifo ijulikane
 
Acheni upumbavu na majungu Job Alikuwa anaumwa magonjwa na angekuwa na washauri wazuri asingegombea huo ubunge
 
Hakika.

Sikio la kufa huwa halisikii dawa
 
Another fodder for Conspirators.....

Valar morghulis - All Men Must Die....;
We shall never see his like again. "and now his watch is ended";
 
Watu na tamaa za hela ila hawana furaha, wanaishi kama digidigi

Hata JK alisema chunga maji yako 😂
Huku muoga na huku unataka mali
Hakika sijui alikuwa anahangaika na nini .

Kwakuwa angekuwa na washauri wazuri kuanzia 2020 angeachana na hii biashara ya siasa .

Kwa nafasi yake ya u -Speaker angekula na kutibiwa popote mpaka anakufa .

Ile kuzomewa tu na wajumbe inaweza kukupa pressure ukafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…