Vifo vya Utata: Pumzika Job Yustino Ndugai

Madawa ya kufubaza gridi ya taifa yana madhara makubwa kwa viungo vya ndani hasa yakitumiwa kwa muda mrefu. Na likibumburuka linabumburuka kweli. Hawa jamaa wengi wao hata ukiwaangalia tu nyuso zao unaona kuwa kuna kitu hakiko sawa. Lakini ndiyo kwanza wanajiachia na kupiga bia + kitimoto. Siku kikiumana kinaumana kweli!

Nadhani wanajua status yao na wameshakubaliana na hali. Liwalo na liwe!
 
Angalia nyumbu huyu. Kwahiyo mwanasiasa hapaswi kufa? Akifa tu kifo cha utata? Pengine watu wana magonjwa yao ya muda mrefu. Vijina wa chadomo wana kiwanda cha kufyatua uzushi.
Kwa nini atake kuendelea na kazi ya ubunge kama ni mgonjwa, na kwa nn wanaoishi nae wamteue mgonjwa? Siamini kama alikuwa mgonjwa kihivyo.
 
Upo sahihi na wanasambaza umeme Sana .

MTU kapata umeme jumlisha Maini na figo kisukari ,pressure na kuzomewa na wajumbe lazima ufe
 
Kwa nini atake kuendelea na kazi ya ubunge kama ni mgonjwa, na kwa nn wanaoishi nae wamteue mgonjwa? Siamini kama alikuwa mgonjwa kihivyo.
Umeambiwa ni mgonjwa wa miaka mingi na trip za India hazikuwahi kuisha Leo hii unataka kusemaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…