Jikumbuke nafsi yako!Umenikumbsha mtu mmoja hivi.Anyway,tunapita tu.
Sijaacha hilo.Ndiyo maana nimemkumbuka Nyerere wa Burito.Jikumbuke nafsi yako!
Naunga mkono hojaFikiria mtu ana Ulinzi kila sehemu, misafara gari kibao, Afya check-up Ulaya, anakula Chochote anachotaka Ila kifo kinakata hizo mbwembwe zote ndani ya sekunde chache.
Naisubiri siku uandike "Siungi mkono hoja" ifike!😂😂😂Naunga mkono hoja
P
Kuna hoja kibao humu siungi mkono hoja!.Naisubiri siku uandike "Siungi mkono hoja" ifike!😂😂😂
Tumuombe Mungu ampe Maisha Marefu Raisi wetu.Fikiria mtu ana Ulinzi kila sehemu, misafara gari kibao, Afya check-up Ulaya, anakula Chochote anachotaka Ila kifo kinakata hizo mbwembwe zote ndani ya sekunde chache.
Ila huwa haundiki kwamba hauungi mkono.Mwishowe nitadhani wewe ni muunga juhudi tu.Kuna hoja kibao humu siungi mkono hoja!.
P
Hakuna rafiki au mlinzi wa maiti.Jasiri baada tu ya kung'ata shuka tu. Ulinzi uliishia hapo.
Je unaishi maisha yanayo mpendeza Mungu, hudhurumu haki ya kuishi kwa wengine yakikushinda haya mawili lazima ufe mpemaFikiria mtu ana Ulinzi kila sehemu, misafara gari kibao (wakat mwingine mpaka helikopta), Afya check-up Ulaya, anakula chochote anachotaka Ila kifo kinakata hizo mbwembwe zote ndani ya sekunde chache. Tukanyage Ardhi hii Kwa adabu na UNYENYEKEVU. Pia tumche MOLA na tuheshimu binadamu wenzetu, maana mwisho wa maisha hatutaondoka na kitu duniani.
NishamjuaUmenikumbsha mtu mmoja hivi.Anyway,tunapita tu.
Najaribu kuwaza kwa Sauti: Wakati bajeti ya uendeshaji wa Gari moja tu kati ya haya kwa mwaka, Yanaweza badilisha shule zaidi ya moja toka hali mbaya na kuwa kwenye hali nzuri na miundombinu iliyobora.Fikiria mtu ana Ulinzi kila sehemu, misafara gari kibao (wakat mwingine mpaka helikopta), Afya check-up Ulaya, anakula chochote anachotaka Ila kifo kinakata hizo mbwembwe zote ndani ya sekunde chache. Tukanyage Ardhi hii Kwa adabu na UNYENYEKEVU. Pia tumche MOLA na tuheshimu binadamu wenzetu, maana mwisho wa maisha hatutaondoka na kitu duniani.
View attachment 2696677
Au unakuta Serikali inatumia fedha nyingi kwa ajili ya bajeti ya matumizi ya kawaida ya viongozi, na fedha kidogo ndio zinaelekezwa kwenye bajeti ya maendeleo. Ambapo unaweza kukuta asilimia 62 ya bajeti yote ni kwa manufaa ya viongozi, na asilimia 38 ya bajeti yote kwa huduma za afya, elimu, maji, na kilimo. Hii hupelekea wananchi vijijini kukosa rasilimali na huduma.