jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,024
- 1,466
Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.
Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.
Kakamba alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya tumbo. Kwa ivo ni kama ilihisiwa ni Kansa. Alikuwa ni RPC anayeongea kama ana haraka lakini maamuzi yake mengi yalikuwa ya busara.Sio vibaya kuwataja majina ili tuomboleze hii misiba!! Iringa askari wanapotea kimaajabu ajabu sana!! Msiba wa Afande Kakamba ulinisikitisha sana!!!
Juzi kati nilikwenda kumtembelea rafiki yangu anakohoa, anatapika, anaishiwa pumzi, ana homa na zaidi ya yote anaishiwa nguvu. Kaambiwa kwenye Hospitali aliyokwenda kwamba hawajaona ugonjwa wowote.
Kuna diwani kaniambia alikuwa kwa siku tano nyumbani kwake anadungwa sindano za kristapeni (Benzyl penicillin Injection) na dawa zingine mbali mbali.
Sielewi ni kwa nini magonjwa wanayoumwa watu hayasemwi.
Ndivyo maisha yalivyo. Wengine wataondoka duniani huku ni kama vile hawakuwahi kuwepo hapa duniani.Hivi Kuna watu maarufu kuliko wengine?
Binafsi naamini kila mtu Ni maarufu kwa eneo alilopoNdivyo maisha yalivyo. Wengine wataondoka duniani huku ni kama vile hawakuwahi kuwepo hapa duniani.
Na kisakafuBwashee sasa hao askari ndio watu " maarufu' kweli?
Ingekuwa enzi za akina Nsangalufu sawa!
Kakamba alifariki lini?Kakamba alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya tumbo. Kwa ivo ni kama ilihisiwa ni Kansa. Alikuwa ni RPC anayeongea kama ana haraka lakini maamuzi yake mengi yalikuwa ya busara.
Kitambo sana. Ni mwaka 2016 nafikiri. Mleta hoja nadhani anataka kusema kwamba Iringa maaskari huwa wanakufa vifo vya ajabu.Kakamba alifariki lini?
Pil Mohamed alishatangulia mbele ya hakiHapo Iringa wakifa hao waarabu ndio mtajua Corona ipo! Maana kamji kanaongozwa na waarabu ki Abri/Asas, Huwel, T.ako, PilMohamed n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo rafiki yako aliyekuwa anakohoa anaendeleje?Kitambo sana. Ni mwaka 2016 nafikiri. Mleta hoja nadhani anataka kusema kwamba Iringa maaskari huwa wanakufa vifo vya ajabu.
Bado anapambania uhai wake ingawa hali si mbaya kama pale awali ambapo hata akiongea kwa simu kwa dakika moja alikuwa anapata shida kupumua.Huyo rafiki yako aliyekuwa anakohoa anaendeleje?
Dogo dah usharudi kwa shemejiMhhh aisee
Pole yakeBado anapambania uhai wake ingawa hali si mbaya kama pale awali ambapo hata akiongea kwa simu kwa dakika moja alikuwa anapata shida kupumua.
Covid 19 bado ipo, tuendelee kuchukua tahadhari tunazoelekezwa na wataalamu wa AFYA #zakuambiwachanganyanazako# RIP RIP marehemu wote!Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.
Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.
Nimepakumbuka saana hapoMkangafu wa hatari na nimepiga na msapulo na kande!! Karibu sana nipo hapa Ipogolo kwa Mwagongo!!
Hata mimi sijaelewa mantiki ya uzi unless kauandika kwa wanaoishi Iringa, alipaswa awataje na sisi wadau wa Iringa tuliombali tupate taarifaSio vibaya kuwataja majina ili tuomboleze hii misiba!! Iringa askari wanapotea kimaajabu ajabu sana!! Msiba wa Afande Kakamba ulinisikitisha sana!!!
Lakini nimesema ni kwa nini siwataji. Pia habari yenyewe ni kuonesha kwamba hapa Iringa tumepoteza watu kadhaa ndani ya kipindi kifupi isivyokawaida!!Hata mimi sijaelewa mantiki ya uzi unless kauandika kwa wanaoishi Iringa, alipaswa awataje na sisi wadau wa Iringa tuliombali tupate taarifa
Acha tu mkuu wanasiasa wanaangamiza watu sana kwa kauli zao za hovyo!! Covid19 badi ipo na wala hatujafikia peak ya maambukizi lakini kina BASHITE wanakwambia imeisha.Juzi kati nilikwenda kumtembelea rafiki yangu anakohoa, anatapika, anaishiwa pumzi, ana homa na zaidi ya yote anaishiwa nguvu. Kaambiwa kwenye Hospitali aliyokwenda kwamba hawajaona ugonjwa wowote.
Kuna diwani kaniambia alikuwa kwa siku tano nyumbani kwake anadungwa sindano za kristapeni (Benzyl penicillin Injection) na dawa zingine mbali mbali.
Sielewi ni kwa nini magonjwa wanayoumwa watu hayasemwi.
Sasa unaficha nini wakati umewataja tayari.Hao wanafahamika kwa wakazi wa Iringa.Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.
Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.