Vifo vya watu maarufu Iringa vinastusha sana!!

Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.

Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.

Na huyu dereva wa OCD ni nani? Lewis au alibadilishwa?
 
Hivi bado hamshindwi tu, kwani mtu maarufu akifa kunatatizo gn? Unataka wafe masikini tu ee
 
Hii inamaanisha nini? Kuna mahali nimesema watu maarufu huwa hawafi ama ni maskini ndiyo wanatakiwa wafe? Umesoma nilichoandika ama unachangia kwa kusoma tu kichwa cha habari??
 
Noti bandia mambo ya hivyo vifo na korona unataka kuleta wewe. Kwani mtaani kwenu wakifa watu kumi kwa pamoja na wakafa wabunge kumi mfululizo unadhani ipi itakuwa habari!!
 
Hii inamaanisha nini? Kuna mahali nimesema watu maarufu huwa hawafi ama ni maskini ndiyo wanatakiwa wafe? Umesoma nilichoandika ama unachangia kwa kusoma tu kichwa cha habari??
Nmesoma. Chakukufikirisha n nn hapo hao watu maarufu waliokufa wamefika hata kumi. Hv hujawahi kusikia familia moja wamekufa hata watu watano mbona haiwi ishu sana.
 
Hakuna atakayebaki chini ya Jua,Uwe maarufu au siyo Maarufu safari inatusubiri,Kizuri ni Maandalizi ya Safari yako umeyapanga vipi?
 
Nmesoma. Chakukufikirisha n nn hapo hao watu maarufu waliokufa wamefika hata kumi. Hv hujawahi kusikia familia moja wamekufa hata watu watano mbona haiwi ishu sana.
Usibishane na uhalisia wa maisha. Wale watu zaidi ya 100 waliokufa pale Morogoro kwa ajali ya moto unadhani ndani mwao angekuwepo na Paul Makonda unadhani habari ile ingeandikwa kama vile ilivyokuwa imeandikwa.

Kwa mfano si kawaida Polisi kufa kwa kufuatana hapa Iringa tena wote wanaofahamika kwa vifo vinavyofanana. Sasa sisi wana Iringa kushangaa unatushangaa nini?
 
Yaan nakusoma vzuri unashindwa tu kuiongelea korona lakini kwa mtu muelewa unataka watu wachukulie vifo hvyo km vinahusiana na korona. Ok hao polisi wanafika hata watano. Nilishashuhudia familia moja inapoteza watu watano kwa wakati mmoja lakini sikuwa na mawazo km ya kwako coz nilijua ni majanga tu ya dunia kunawakati upepo wa kuondokewa wapendwa wetu unakua mkubwa kunawakati unaenda taratibu hususani kwa wale unaowajua.
 
Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.

Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.
Sasa kama huwezi kutaja majina umeleta habari ili tukupe majibu?
Sisi hatujui kwanini wala hatuna uhakika na habari yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Mkuu watu gani wanapaswa wafe mfululizo?

Kwa takribani siku kumi zilizopita vimetokea mfululizo vifo kadhaa vya watu maarufu hapa Iringa hadi kuzusha maswali mengi sana.

Inawezekana Mungu ameamua kuchukua watu maarufu wanaofahamika hapa Iringa ili kuleta watu wengine maarufu wa kizazi hiki. Lakini inafikirisha sana!!
 
Back
Top Bottom