Vifo vya watu maarufu Iringa vinastusha sana!!

Vifo vya watu maarufu Iringa vinastusha sana!!

Jana tulikuwa kwenye mazishi ya Mama Fungabreki wa Mlandege Karibu na chuo cha VETA na Bwana Hamisi Idi Malinga ambaye alikuwa ni Mkurugenzi wa Wilaya ya Babati. Maziko ya Bwana Malinga yalifanyika kwa tahadhari sana.

1592424112291.png

Hamisi Iddi Malinga enzi za Uhai wake.
 
Siku hizi imekuwa ni kawaida kukutana kwenye makaburi ya Makanyagio ama Igeleke kuzika kukiwa na misiba ya watu zaidi ya watatu wanaofahamika na watu wengi. Lala salama Meja Mpangala.
 
Wiki hii tumepoteza watu watano Maarufu.

1. Mzee Semaganga

2. Mzee Kaptein Lugenge

4. Mzee Fungo wa Vantela.

5. Mzee Mwamgiga.

Mungu awapumzishe kwa Amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa takribani siku kumi zilizopita vimetokea mfululizo vifo kadhaa vya watu maarufu hapa Iringa hadi kuzusha maswali mengi sana.

Inawezekana Mungu ameamua kuchukua watu maarufu wanaofahamika hapa Iringa ili kuleta watu wengine maarufu wa kizazi hiki. Lakini inafikirisha sana!!
Hii nchi ina baadhi ya watu wachache na ambao ni wa ajabu sana. Inabidi tuwe waangalifu maana kunaweza kukatokea hata watu wa kupulizia sumu wengine kijanja ili idhaniwe kuwa ni Corona imerudi kwa kasi kubwa
 
Hao wote wamefia Hospitalini.

Hiyo Simu wamepuliziwa na madokta au manesi??

Kweli Kuna watu wa ajabu sana.

Halafu kuna mahali nimesema wamekufa kwa CORONA!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko Iringa haipiti wiki bila msiba na ndio kawaida yake mpaka kuna mhehe hapa huwa namtania kuwa nyie mnaongoza kwa kufa,hiyo before corona sasa sioni cha ajabu watu kufa huko Iringa.

Hawa ni baadhi ya watu waliyowahi kuugua Covid-19 na wakapona.

Anna Mghwila.

Mwana FA.

Salam SK.(meneja wa Diamond?)

Mtoto wa Magufuli.

Mtoto wa Mbowe.

Na sasa Maalim seifu amejitangaza kuumwa Covid-19, tunaimani atapona pia
 
Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.

Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.
...Sio vizuri kutaja majina ya Wafu?? Kwa mini?? Yaani Mtanzania mwenzetu amefariki lakini sio vizuri kutaja jina lake??
 
Huko Iringa haipiti wiki bila msiba na ndio kawaida yake mpaka kuna mhehe hapa huwa namtania kuwa nyie mnaongoza kwa kufa,hiyo before corona sasa sioni cha ajabu watu kufa huko Iringa.

Hawa ni baadhi ya watu waliyowahi kuugua Covid-19 na wakapona.

Anna Mghwila.

Mwana FA.

Salam SK.(meneja wa Diamond?)

Mtoto wa Magufuli.

Mtoto wa Mbowe.

Na sasa Maalim seifu amejitangaza kuumwa Covid-19, tunaimani atapona pia
Wenyewe tunaona ufaji huu si wa kawaida wewe unadai ni kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko Iringa haipiti wiki bila msiba na ndio kawaida yake mpaka kuna mhehe hapa huwa namtania kuwa nyie mnaongoza kwa kufa,hiyo before corona sasa sioni cha ajabu watu kufa huko Iringa.

Hawa ni baadhi ya watu waliyowahi kuugua Covid-19 na wakapona.

Anna Mghwila.

Mwana FA.

Salam SK.(meneja wa Diamond?)

Mtoto wa Magufuli.

Mtoto wa Mbowe.

Na sasa Maalim seifu amejitangaza kuumwa Covid-19, tunaimani atapona pia
Ngoja uugue upone
 
Mkangafu wa hatari na nimepiga na msapulo na kande!! Karibu sana nipo hapa Ipogolo kwa Mwagongo!!
vahungilage mbevali ipoo..
nimekulia mitaa hiyo kitambo sana, tumecheza disco la sikukuu kwa mzee mwasika
 
Back
Top Bottom