Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Jul 16, 2018 #21 Leo asubuhi kuna chaka moja nilikuwa napata, meza ya jirani yangu walikaa WAZEE wawili wanakunywa chai huku wanamzungumzia "Boss!" Mbaya zaidi walikuwa dizain kama wananong'ona! Nikaamua kuwasha data! Chenga. Nikasepa.
Leo asubuhi kuna chaka moja nilikuwa napata, meza ya jirani yangu walikaa WAZEE wawili wanakunywa chai huku wanamzungumzia "Boss!" Mbaya zaidi walikuwa dizain kama wananong'ona! Nikaamua kuwasha data! Chenga. Nikasepa.
Mayor of kingstown JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 2,898 Reaction score 4,156 Jul 16, 2018 #22 Ni vizuri tu wakifa ao watu maharufu maana mungu uwatumia pia kutukumbusha kua kila mtu ata uonja umauti ata awe nan[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni vizuri tu wakifa ao watu maharufu maana mungu uwatumia pia kutukumbusha kua kila mtu ata uonja umauti ata awe nan[emoji23][emoji23][emoji23]
xtaper JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 3,319 Reaction score 4,701 Jul 16, 2018 #23 23rd to comment
3 Angels message JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 5,350 Reaction score 15,426 Jul 16, 2018 #24 Askof tza said: 2nd Click to expand... Wewe ni yule wa clouds mkuu?
Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,452 Reaction score 8,670 Jul 16, 2018 #25 Nimitz, sio kwamba watu wasife ila ni wajibu kwani chenye mwanzo kina mwisho ila vifo vya kutatanisha hasa ulimwengu wa roho .
Nimitz, sio kwamba watu wasife ila ni wajibu kwani chenye mwanzo kina mwisho ila vifo vya kutatanisha hasa ulimwengu wa roho .
Mbabe hunter JF-Expert Member Joined Jul 15, 2016 Posts 327 Reaction score 477 Jul 16, 2018 #26 Tukishawaombea hao watu maarufu then afe nani??
Mbabe hunter JF-Expert Member Joined Jul 15, 2016 Posts 327 Reaction score 477 Jul 16, 2018 #27 Tukishawaombea hao watu maarufu then afe nani?? Kwan wao ni akina nani hadi wasife.. yaan ndugu zetu wenyewe tunasahau kuwaombea wawe hao
Tukishawaombea hao watu maarufu then afe nani?? Kwan wao ni akina nani hadi wasife.. yaan ndugu zetu wenyewe tunasahau kuwaombea wawe hao
DJ SEPETU JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 8,413 Reaction score 12,336 Jul 17, 2018 Thread starter #28 Jamani tuwe na utu
Msulunji Member Joined May 28, 2018 Posts 20 Reaction score 18 Jul 17, 2018 #29 Tuwaombee waliokufa ama walio hai na kama hao walio hai lengo la maombi ni nini wasife au eb nieleweshe mkuu
Tuwaombee waliokufa ama walio hai na kama hao walio hai lengo la maombi ni nini wasife au eb nieleweshe mkuu
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jul 17, 2018 #30 Maombi yanatakiwa kwa wote
Msulunji Member Joined May 28, 2018 Posts 20 Reaction score 18 Jul 17, 2018 #31 Mtot said: Maombi yanatakiwa kwa wote Click to expand... Inamaana tuwaombee wafu