Leo asubuhi kuna chaka moja nilikuwa napata, meza ya jirani yangu walikaa WAZEE wawili wanakunywa chai huku wanamzungumzia "Boss!" Mbaya zaidi walikuwa dizain kama wananong'ona! Nikaamua kuwasha data! Chenga. Nikasepa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.