Vifuatavyo ni vigezo vya kujiunga chuo kikuu Kwa 2014/2015

Ufaulu mwingi but wenye sifa za kujoin chuo kikuu ni wachache.

Ccm oyeeeeeeee
 
E mbili tu zinamuwezesha mtu kuingia Chuo??????!!
 
Hongera sana kwa wote waliofaulu

Equate C ya sasa= E ya kipindi kile.. Ukiangalie matokeo hayajapanda sana km watu wanavyotaka kutuaminisha. Angalia matokeo ya 2012,na 2011 hayapotofauti sana na ya mwaka huu
 
Ndio kama huko NECTA wamepunguza alama za ufaulu,na sisi huku HIGHER LEARNING Lazima tuongeze alama za kukufanya ujoin,ili twende sawa,tusije chukua vilaza bure
 
Ndio kama huko NECTA wamepunguza alama za ufaulu,na sisi huku HIGHER LEARNING Lazima tuongeze alama za kukufanya ujoin,ili twende sawa,tusije chukua vilaza bure

Kwanini tunaamini viwango vimeshushwa.. Equate C ya sasa ni sawa na E ya zamani., wanafunzi wamejitaidi this year sana.,
 
Ufaulu mwingi but wenye sifa za kujoin chuo kikuu ni wachache.

Ccm oyeeeeeeee

Kila kitu ni politics wangu duuuu.! Ccm wana husikaje au Dr msonde na baraza ni Secretariat ya CCM..mambo ya siasa yana jukwaa lake Mr politician
 
Kila kitu ni politics wangu duuuu.! Ccm wana husikaje au Dr msonde na baraza ni Secretariat ya CCM..mambo ya siasa yana jukwaa lake Mr politician

Haaaaaaaah umenifurahisha mkuu, siku hizi hata mtu akinyimwa na mkewe atasingizia serikali mweeeh
Na ukichunguza walalamikaji sana ni wale wavivu
 
Kwanini tunaamini viwango vimeshushwa.. Equate C ya sasa ni sawa na E ya zamani., wanafunzi wamejitaidi this year sana.,
kama mimi niliepata C THIS YEAR,HIYO ILIKUWA E HUKO ZAMANI,sasa chuo nao ni lazima wabadilishe.ina maana aliepata C this year ni kama ingekuwa miaka ya zamani basi kiwango chake kipo chini
 
kila kitu ni politics wangu duuuu.! Ccm wana husikaje au dr msonde na baraza ni secretariat ya ccm..mambo ya siasa yana jukwaa lake mr politician

tumia akili wewe.

Kila kitu ni siasa coz taasisi zote ziko chini ya serikali na serikali inasimamiwa na ccm so uwezi zungumza kitu pasipo ccm kuhusika.

Nya............fu
 
E mbili tu zinamuwezesha mtu kuingia Chuo??????!!

Chuo cha msimbazi labda., E mbili ni sawa name F mbili Kwa sheria ya baraza mpya., kwenda chuo unahitaji C mbili.. I say not two D Visit WWW. Tcu. go.tz.
 
kama mimi niliepata C THIS YEAR,HIYO ILIKUWA E HUKO ZAMANI,sasa chuo nao ni lazima wabadilishe.ina maana aliepata C this year ni kama ingekuwa miaka ya zamani basi kiwango chake kipo chini

Credit pass ya form four ni C na credit pass ya form 6 ilikuwa E., baraza walichofanya necta ni kuleta similarities ya credit pass kuwa credit pass ya form 6 and 4 iwe ni C., kwahiyo uzito wa C wa zamani si sawa na C ya sasa ivi.,
 
tumia akili wewe.

Kila kitu ni siasa coz taasisi zote ziko chini ya serikali na serikali inasimamiwa na ccm so uwezi zungumza kitu pasipo ccm kuhusika.

Nya............fu
Aya kijana nafikili umevurugwa but siyo vizuri kila jambo kuliwekea politics hasa cheap politics kama hizo. Ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…