Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we ni nani?ndali chako?
Mkuu vipi? Mbona jazba?
Hongera sana kwa wote waliofaulu
Ndio kama huko NECTA wamepunguza alama za ufaulu,na sisi huku HIGHER LEARNING Lazima tuongeze alama za kukufanya ujoin,ili twende sawa,tusije chukua vilaza bure
Ufaulu mwingi but wenye sifa za kujoin chuo kikuu ni wachache.
Ccm oyeeeeeeee
Kila kitu ni politics wangu duuuu.! Ccm wana husikaje au Dr msonde na baraza ni Secretariat ya CCM..mambo ya siasa yana jukwaa lake Mr politician
kama mimi niliepata C THIS YEAR,HIYO ILIKUWA E HUKO ZAMANI,sasa chuo nao ni lazima wabadilishe.ina maana aliepata C this year ni kama ingekuwa miaka ya zamani basi kiwango chake kipo chiniKwanini tunaamini viwango vimeshushwa.. Equate C ya sasa ni sawa na E ya zamani., wanafunzi wamejitaidi this year sana.,
kila kitu ni politics wangu duuuu.! Ccm wana husikaje au dr msonde na baraza ni secretariat ya ccm..mambo ya siasa yana jukwaa lake mr politician
E mbili tu zinamuwezesha mtu kuingia Chuo??????!!
kama mimi niliepata C THIS YEAR,HIYO ILIKUWA E HUKO ZAMANI,sasa chuo nao ni lazima wabadilishe.ina maana aliepata C this year ni kama ingekuwa miaka ya zamani basi kiwango chake kipo chini
Aya kijana nafikili umevurugwa but siyo vizuri kila jambo kuliwekea politics hasa cheap politics kama hizo. Ubarikiwetumia akili wewe.
Kila kitu ni siasa coz taasisi zote ziko chini ya serikali na serikali inasimamiwa na ccm so uwezi zungumza kitu pasipo ccm kuhusika.
Nya............fu
Mkuu vipi? Mbona jazba?