Tafadhali naomba kujua aina tofauti za vifungashio vya kuku walio Chinjwa tayar kwa ajili ya usambzaji katika masoko mbali mbali,
Ningefurahi ningepata na picha kabisa
Tembelea super Market kubwa kuna Packaging kibao hasa hiwa ziko za aina mbili za kuweka kwenye mifuko na za kuweka kwenye visahani fulani then inafunikwa