Vifungashio bora vya kuku

Vifungashio bora vya kuku

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
7,015
Reaction score
4,985
Tafadhali naomba kujua aina tofauti za vifungashio vya kuku walio Chinjwa tayar kwa ajili ya usambzaji katika masoko mbali mbali,
Ningefurahi ningepata na picha kabisa
 
Hakuna anaejua kuhusu hili sio?
 
Tembelea super Market kubwa kuna Packaging kibao hasa hiwa ziko za aina mbili za kuweka kwenye mifuko na za kuweka kwenye visahani fulani then inafunikwa
images%20(94).jpeg
images%20(92).jpeg
images%20(91).jpeg
 
Back
Top Bottom