Vifungashio vilivyopigwa marufuku baadhi bado vinatumika tena kwa wingi

generationn Z

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2025
Posts
454
Reaction score
748
Hii ni ile mifuko nyeupe inayotumika kufungia bidhaa hasa madukani na sokoni.. kiukweli jamii bado inaitumia na imekubalika kwa watumiaji sababu kuu ikiwa ni upatikanaji rahisi japo inaingia kimagendo.

Je kwanini pato la taifa liendelee kupita njia za chocho badala ya kuruhusu wiwanda vyetu vitengeneze mifuko ili tupate ajira na pato la taifa kuongezeka.

Ukipita ktk dampo sehemu toyote ile hiyo mifuko lazma ukutane nayo kwa maana ya iliyokwisha kutumika...

Hello Tanzania
 
Kiongozi, nikujulishe tu kuwa, Mifuko ya Nailoni haijapigwa marufuku yote
Kuna kiwango cha unene inatakiwa iwe nayo iweze kutumika
Kumbuka kuna bidhaa nyingi tu zinahitaji hiyo mifuko
kama Nyama, maziwa, samaki nk nk
 
Hii ni ile mifuko nyeupe inayotumika kufungia bidhaa hasa madukani na sokoni.. kiukweli jamii bado inaitumia na imekubalika kwa watumiaji sababu kuu ikiwa ni upatikanaji rahisi japo inaingia kimagendo.

Je kwanini pato la taifa liendelee kupita njia za chocho badala ya kuruhusu wiwanda vyetu vitengeneze mifuko ili tupate ajira na pato la taifa kuongezeka.

Ukipita ktk dampo sehemu toyote ile hiyo mifuko lazma ukutane nayo kwa maana ya iliyokwisha kutumika...

Hello Tanzania
Hii nchi watunga sheria hawafuati sheria halaf wanataka wananchi wafuate sheria
 
Inshu sio mifuko inahu ni namna gani ya kuidhibiti isichafue mazingira
 
Back
Top Bottom