generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 454
- 748
Hii nchi watunga sheria hawafuati sheria halaf wanataka wananchi wafuate sheriaHii ni ile mifuko nyeupe inayotumika kufungia bidhaa hasa madukani na sokoni.. kiukweli jamii bado inaitumia na imekubalika kwa watumiaji sababu kuu ikiwa ni upatikanaji rahisi japo inaingia kimagendo.
Je kwanini pato la taifa liendelee kupita njia za chocho badala ya kuruhusu wiwanda vyetu vitengeneze mifuko ili tupate ajira na pato la taifa kuongezeka.
Ukipita ktk dampo sehemu toyote ile hiyo mifuko lazma ukutane nayo kwa maana ya iliyokwisha kutumika...
Hello Tanzania
Hata hii nyeupe ila tofaut nikwamba nyeusi imepotea sana ila nyeupe inapatikaniliyozuiwa ni ile myeusi
Yani ni changamotoKuna ya blue mikubwa kidogo imeshakuwa kero kwenye mazingira
Sana mkuuWatu wakiishakuwa corrupt ni tatizo.
Ishu ni mifukoInshu sio mifuko inahu ni namna gani ya kuidhibiti isichafue mazingira
Blue kila pahala ipo.Kuna ya blue mikubwa kidogo imeshakuwa kero kwenye mazingira
Ndyo.. hizo serikali haizigusi sijajua ni kwa nn au kwakuwa ni ...............!Hivi Alminium Foils nazo haziozi ujue