Serikali ndio ilimruhusu mo na sio wanachama katika mkutano mkuu uliofanyika ukumbi wa Police mesiHakuna Kampeni ya Kisiasa iyopigwa na MO siku ya Simba Day.
Kumsifia Raisi kwa kufanikisha zoezi la uwekezaji wake ni jambo la heshima tu kwani bila Serikali kumruhusu MO asingewekeza Simba.
Hakuna mahali aliposema,
Chagua Magufuli.
Wanachama walimpendekeza tu, ila ruhusa ya kuwekeza Simba ilitolewa na Serikali, na Kumwamrisha achukue HISA asilimia 49 tu.Serikali ndio ilimruhusu mo na sio wanachama katika mkutano mkuu uliofanyika ukumbi wa Police mesi
Acha ujinga weweWanachama walimpendekeza tu, ila ruhusa ya kuwekeza Simba ilitolewa na Serikali, na Kumwamrisha achukue HISA asilimia 49 tu.
Yeye MO alitaka 51. Kumbuka uwekezaji wowote lazima upate ridhaa ya Serikali.
Kama Serikali ingekataa asinge wekeza MO Simba.
Upumbavu kiwango cha lami.Wanachama walimpendekeza tu, ila ruhusa ya kuwekeza Simba ilitolewa na Serikali, na Kumwamrisha achukue HISA asilimia 49 tu.
Yeye MO alitaka 51. Kumbuka uwekezaji wowote lazima upate ridhaa ya Serikali.
Kama Serikali ingekataa asinge wekeza MO Simba.
Na akaichukue Singida Utd iwe kama Barca.Mwamedi amekuwa kama Haji siku hizi! Kama anataka siasa arudi Singida akagombee! Anaowaabudu huenda ndio walimteka....
Daaaaaah mi mwenyewe simba, lakini we jamaa acha ujinga kiasi hicho. Simba ni Taasisi ya wanachama sio ya Serikali. Bila wanachama kupitisha serikali isingeweza kulazimisha iwe kwenye mfumo wa nchi.Wanachama walimpendekeza tu, ila ruhusa ya kuwekeza Simba ilitolewa na Serikali, na Kumwamrisha achukue HISA asilimia 49 tu.
Yeye MO alitaka 51. Kumbuka uwekezaji wowote lazima upate ridhaa ya Serikali.
Kama Serikali ingekataa asinge wekeza MO Simba.
Hebu tusubiri tuone wanasheria watasemaje kwenye hiliHakuna Kampeni ya Kisiasa iyopigwa na MO siku ya Simba Day.
Kumsifia Raisi kwa kufanikisha zoezi la uwekezaji wake ni jambo la heshima tu kwani bila Serikali kumruhusu MO asingewekeza Simba.
Hakuna mahali aliposema,
Chagua Magufuli.
Lete uelewa wakoAcha ujinga wewe
Tuambie Ujuzi wakoUpumbavu kiwango cha lami.
Nashangaa wenye hekima wanashindwa kuelewa hii kitu.Hebu tusubiri tuone wanasheria watasemaje kwenye hili
Hatuzungumzi siasa hapa.Usipomkubali Jpm bila shaka we mchawi