Vifungu hivi vinaweza kumkaanga Mohamed Dewji 'Mo' huko FIFA

Vifungu hivi vinaweza kumkaanga Mohamed Dewji 'Mo' huko FIFA

Daaaaaah mi mwenyewe simba, lakini we jamaa acha ujinga kiasi hicho. Simba ni Taasisi ya wanachama sio ya Serikali. Bila wanachama kupitisha serikali isingeweza kulazimisha iwe kwenye mfumo wa nchi.
Kinachofanyika ni kwa sababu tu saizi nchi haifuati sheria ila inaongozwa na akili za magu, Ko watu wenye kujikomba kwa mfalme Jpm ndo siku zote wanasifu tu hata kama hakustahili kusifiwa.
Kwanza mtu ukitaka kuanzisha kampuni si unaamua kwanza wewe mwenyewe.

Hivyo wanachama wa Simba walivyotaka kuwekeza waliamua kwanza wao wenyewe.

Sasa uwe umeamua wewe au wanachama ni lazima ufuate masharti ya kiserikali ilikufanikisha ewekezaji wako au wenu.

Lazima uende BRELA, ukajaze fomu za kutaka kuwekeza au kuanzisha kampuni na ucuate masherti yote.

Na serikali ijiridhishe vya kutosha ndio ukukubaliae kuwekeza au kuanzisha kampuni.

Isipo jiridhisha hata kama umefuata kanuni zote za uwekezaji inaweza ikakukatalia na huna cha kufanya.

Niki kuuliza Simba wamesajiri wapi hiyo kampuni utaweza kujibu ?

Na sio kampuni tu, hata hiuo Clabu ya Simba imesajiriwa Serikalini.

Anzisha timu ya mpira bila kuisajiri halafu tuone utacheza ligi ya wapi na kwa kibali gani.
Wewe mwenyewe umesajiriwa Serikalini RITA na unaweza kukataliwa vile vile ukaambiwa sio Raia na ukafukuzwa nchini.

Baadhi ya Wahitimu wa Shule za Kata ni Completely Zero Brain.
 
Kwaiyo CHADEMA imewauma saana.unadhani FIFA ni waswahili kama nyinyi.
 
Sasa hizo si law adherence hata ukifungua kiwanda Cha kuzalisha unga lazima upate vibali vya TBS na TMDA. Wala Hakuna Cha ajabu Ni kawaida. Na sio Simba tu hata timu za Daraja la kwanza Kuna taratibu lazima mzifuate ila haimaanishi hizo ni timu za serikali kilaza wewe.

Hapa kinachozungumzwa ni kuchanganya Siasa na Soka kwa miongozo ya FIFA ni kosa na adhabu yako huwa kufungiwa kujihusisha na Soka mpaka maisha. Kule Italy Sylvio Beluscon Ni waziri mkuu wa italy ila huwezi kukuta anapiga kampeni pale ac Milan eti kisa ni mwenyekiti wa ac Milan.

Ukute nabishana na kulielekeza jitu puuzi hata mpira huwa haangalii na hafuatilii.

Soma huu muongozo wa fifa mbuzi wee.
IMG_20200823_214239.jpeg
 
Wanachama walimpendekeza tu, ila ruhusa ya kuwekeza Simba ilitolewa na Serikali, na Kumwamrisha achukue HISA asilimia 49 tu.
Yeye MO alitaka 51. Kumbuka uwekezaji wowote lazima upate ridhaa ya Serikali.
Kama Serikali ingekataa asinge wekeza MO Simba.
Mie nasangaa nafasi ya Kaduguda hapo Simba kama inafaida kwa klabu. Huyu jamaaa kila aongeapo kwenye vyombo vya habari lazima amsifie MO na juzi kati kwenye uwanja wa Mkapa ni MO tu ndo alisikika na si Kaduguda.
 
MO ndio Kilakitu hapo Simba. Ndiye anayeghalimia kila kitu.
Au hujui kuwa Mpira ni Pesa.

MO ndio kawaajiri wote hao hivyo ni lazima wamsifie.
Duniani kote mpira unaendeshwa na wenye pesa.
 
Back
Top Bottom