Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Kwanza mtu ukitaka kuanzisha kampuni si unaamua kwanza wewe mwenyewe.Daaaaaah mi mwenyewe simba, lakini we jamaa acha ujinga kiasi hicho. Simba ni Taasisi ya wanachama sio ya Serikali. Bila wanachama kupitisha serikali isingeweza kulazimisha iwe kwenye mfumo wa nchi.
Kinachofanyika ni kwa sababu tu saizi nchi haifuati sheria ila inaongozwa na akili za magu, Ko watu wenye kujikomba kwa mfalme Jpm ndo siku zote wanasifu tu hata kama hakustahili kusifiwa.
Hivyo wanachama wa Simba walivyotaka kuwekeza waliamua kwanza wao wenyewe.
Sasa uwe umeamua wewe au wanachama ni lazima ufuate masharti ya kiserikali ilikufanikisha ewekezaji wako au wenu.
Lazima uende BRELA, ukajaze fomu za kutaka kuwekeza au kuanzisha kampuni na ucuate masherti yote.
Na serikali ijiridhishe vya kutosha ndio ukukubaliae kuwekeza au kuanzisha kampuni.
Isipo jiridhisha hata kama umefuata kanuni zote za uwekezaji inaweza ikakukatalia na huna cha kufanya.
Niki kuuliza Simba wamesajiri wapi hiyo kampuni utaweza kujibu ?
Na sio kampuni tu, hata hiuo Clabu ya Simba imesajiriwa Serikalini.
Anzisha timu ya mpira bila kuisajiri halafu tuone utacheza ligi ya wapi na kwa kibali gani.
Wewe mwenyewe umesajiriwa Serikalini RITA na unaweza kukataliwa vile vile ukaambiwa sio Raia na ukafukuzwa nchini.
Baadhi ya Wahitimu wa Shule za Kata ni Completely Zero Brain.