Tetesi: Vifupi vyake vinankatisha tamaa kabisa

Tetesi: Vifupi vyake vinankatisha tamaa kabisa

Joined
Nov 8, 2017
Posts
22
Reaction score
12
Aisee kuna mtoto namuelewa Sana nmeanza mawasliano nae kama Wiki hivi tatizo ktk chating zetu analeta ukauzu Sana unaandika sms gazeti anajibu short and clear OK poa haya duu yan hata ujalibu kumstorisha mikazo hadi najkuta Kama najiyeyusha nampenda ila anankazia Sana sjui nfanyeje sjui atabadlika ushaur
 
Una hela? Watoto wa kike hawashibi hela kama hela ipo tumia nae tu mbona atakua akiona msg yako anatabasamu mwenyewe na anajibu kwa moyo mkunjufu. Vinginevyo karibu kwenye chama cha kuwa single milele
 
Aisee kuna mtoto namuelewa Sana nmeanza mawasliano nae kama Wiki hivi tatizo ktk chating zetu analeta ukauzu Sana unaandika sms gazeti anajibu short and clear OK poa haya duu yan hata ujalibu kumstorisha mikazo hadi najkuta Kama najiyeyusha nampenda ila anankazia Sana sjui nfanyeje sjui atabadlika ushaur
Nenda tuisheni. Ulikimbia umande uzi unaandika kama unazungumza kijiweni.
 
Akikutenda usije lia na kuomba ushauri
 
Wewe mwenyewe mbona unaandika kifupi kifupi humu labda nae anakuiga
ktk=katika
yan=yani
sjui=sijui
Asee pambana na hali yako tu
 
Back
Top Bottom