Mtafutaji hachoki
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 469
- 396
Hahahaha inamaanisha...What the https://jamii.app/JFUserGuide!hii WTF inamaana gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha inamaanisha...What the https://jamii.app/JFUserGuide!hii WTF inamaana gani?
Kumbe! Hii hata mi ilikua inanipiga chenga..Hiyo ni By The Way mkuu!
Bila shaka sasa haitakubabaisha tena mkuu!Kumbe! Hii hata mi ilikua inanipiga chenga..
Kwa kizazi hiki matusi tena yale ya nguoni ni kama fasheni! Hata mtu akitakakukusifia lazima achomeke na tusi, utasikia ms*ng* ana mawe yule?Tunashukuru tuliokuwa hatujui . lakini walioviuna baadhi ya vifupi ni wahuni . matusi mengine labda ndio kizazi cha sasa matusi ni sifa?
kuna hii BTW huwa siielewi kabisa....hayo mengine nilikuwa najua angalau.
Hahahaaaa!Mimi uwa nina rafiki yangu anaishi Tabata, Dar. Hivyo kwa ushamba wangu uwa nikiona TBT uwa nafikiri inamaanisha TABATA.
Ahsante mkuuPM-Private messsage, DM-Direct message.
Hii ina maana gani ASAP?
Mkuu Inna sijapata kuuona, endapo utafanikiwa kupata link naomba tafadhali!Kuna uzi humu watu walitajaga hvyo vifupisho vyote
SawaMkuu Inna sijapata kuuona, endapo utafanikiwa kupata link naomba tafadhali!
hii WTF inamaana gani?