Wapi huko?6.8GB/month per year. Only for 25k
InanigomeaHiyo ni ya chuo *149*42#
Mtandao upi?6.8GB/month per year. Only for 25k
Tigo mkuuMtandao upi?
Tigo kakaWapi huko?
GB 6 za ukweli ama zile za social?Tigo mkuu
Kifurushi cha chuoHii menu mbona kwangu haipo?
Katika hizo, 2.8 Ni social mkuuGB 6 za ukweli ama zile za social?
Ya ukweli haya!!?? Hii niya lini sasa ivi nikisajili line ya airtel nitayapa hivo vifurushi kwa menu gani jmnView attachment 1672122
Airtel iyo
Nna uhakika hizo 750MB zenyewe hautazimalizaView attachment 1672122
Airtel iyo
Mwendo wa kinyongaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nna uhakika hizo 750MB zenyewe hautazimaliza
Ya ukweli haya!!?? Hii niya lini sasa ivi nikisajili line ya airtel nitayapa hivo vifurushi kwa menu gani jmn
Mwendo wa kinyongaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😄😄Haya malalamiko yamekithiri sana kwa AirtelNna uhakika hizo 750MB zenyewe hautazimaliza