Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ngoja tusubir vilio mkuu.

Mi nashangaa watu wanakuja kichwa kichwa tu yaan watalia mpaka washangae yan mtu anakutumia screenshot ya message kutoka voda afu ina sehemu ya kureply,,,[emoji848] hv msg kutoka voda huwa znakuwa na sehem ya kurep
 
Sihami Tigo.. never everπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ukihitaji hilo bando andika neno BURE tuma kwenda namba 15166 wahi linataka ku expireπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

NB: UKIHITAJI KIWANJA MWANZA AMA Dar tutafutane namba yangu hio hapo kwenye salioπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nipe maelekezo. Natuma haendi
Unatakiwa uwe umejiunga kifurushi chochote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…