Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Zinapoteza uhalisia. Kama squid game ina episode 9 tu lkn waliotafrisi zipo mpaka 14, 28 mpaka 40.
Kweli hii nchi ngumu sana.
Daaa aseee wazee wakutoboa usiku tumeachwa wakiwa kama wana Ukawa. Siamini sasa Muvi kali naenda kuzifata kwenye mabanda muvi zenyewe zimetafasiliwa sizipendi hata kidogo muvi za kutafsiriwa
 
Nataka kifurushi cha free call kwa miaka mitatu iwe mitandao yote isiwe ni tigo tigo tu bei iwe ya jua la utosi
 
Hivi spidi ya internet kwa voda nnapokuwa nimemaliza GB zangu 37 za mwezi inafika ngapi kwa wale mliounga hiki kifurushi cha 50,000
 
Hivi spidi ya internet kwa voda nnapokuwa nimemaliza GB zangu 37 za mwezi inafika ngapi kwa wale mliounga hiki kifurushi cha 50,000
Zamani ilikuwa ni 500kbps (kama 60KBps)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…