Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wadau binafsi natumia Bitvpn haina limitations yaan unatumia Mb kadri uwezavyo kwa playstore naona sasa hv wameifuta kwa ataehitaj anitumie namba yake inbox nimtumie maana hapa sijui kma ninaweza ku share hyo application
sio afande ww
 
Hata Mimi nahisi kama jamaa anataka kutuingiza kwenye target japo mimi team vitonga.com sina imani kabisa kumfuata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ (joking)
Sio afande ni kweli kwenye line ya tigo inafanya kazi
 
Mkuu mi nime download
ila kipengele cha kuinvite sikiion
Hata mimi nikikitumia juzi kuinvite mtu leo sikioni nahisi majamaa wameona tunamaliza Mb zao kwa fujo.
 
Mkuu mi nime download
ila kipengele cha kuinvite sikiioni
Wamekiondoa mkuu.
hili chimbo wana jf wame share sana kiasi kwamba wameona developers wamestukia jam.
Ona kwangu hakipo pia

cha ajabu hata wewe hujatoa sadaka
 
Wanangu wa Sky vpn na watumiaji wa Tigo kiujumla. Kuna ka 300 ka chap chapπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
tuma 1 kwenda namba hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…