NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Hata kwa elf 2 huwezii kununua Gb utaambulia MB, vifurushi vimepanda mno
Kwa hali iliyopo Sasa kumetokea mabadiliko yanayoongeza ukali wa maisha kiuchumi kwenye kuvimudu vifurushi, mitandao ya Simu imepunguza ujazo wa vifurushi na kuvifanya viwe ghali zaidi.
niliwahi kusema hivi vifurushi kuna kipindi GB 1 itakuja kuuzwa elf 3 na Kwa hali hii inayoendelea ni swala la miezi tutafika huko.
Mbaya zaidi wananchi hatuthaminiki, sheria zipo kinadharia tu lakini kiutendaji ni sifuri, Hata hatujuzwi chochote kuhusu mabadiliko, ni umafia wa hali ya juu...