Vifutu anaowasema Askofu Dr Shoo ndio akina nani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kifutu ni aina fulani ya nyoka ambao ni wafupi na wanene.

Ndio najiuliza hao vifutu aliowataja askofu Shoo kwamba wakumbuke hii ni awamu ya 6, ni akina nani hao?

Nawatakia Pasaka njema.

Maendeleo hayana vyama!
 
Inaonekana kamanda baba askofu shoo kaanza kampeni mapema; sijui atagombe ubunge jimbo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…