Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Hata hivyo wanasayansi wanashauri tuendelee kupanda na kutunza miti. Miti ndiyo sehemu ya asili ya ndege kujenga viota vyao na kuzaliana. Vigae vikipata joto wakati wa jua kali si sehemu salama kwa ndege kuishi.
Kumbuka ndege ni muhimu kwa kueneza mbegu za miti. Miti kama mipera ndege wanasaidia kusambaza mbegu zake.